Msaada juu ya maumivu ya kiuno

ndugaseli

JF-Expert Member
May 17, 2017
869
2,405
habari ya sahv wananajamvi ? kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno mda mchache sana kinakuwa akiumi naomba mawazo yenu tafadhali wadau
 
Nenda kafanyiwe masaji na wajinsia ya tofauti nawewe, baada ya wiki moja utasahau kama uliumwa kiuno
 
Kama hua unabeba vitu vizito,unatakiwa unapobeba mzigo uchuchumae kisha beba huo mzigo na uwe unainuka kwa miguu polepole,yaani huo mzigo unaoubeba uzito wake uchukuliwe na miguu yako na sio mgongo au kiuno.
 
mizigo cbebi mkuu ila huwa napga mazoezi makali sana mkuu
 
Kapime UTI
Me.... kapata UTI ni kazi sana labda kama hajatahiriwa.

Maana naona UTI ndiyo umekuwa wimbo wa mjini lakini napenda kuwahabarisha tu wana JF

Wengi wanaombiwa wana UTI ni biashara tu hiyo mnapigwa tu,wachache sana wanaoguliwa UTI Tanzania na Duniani kwa ujumla.

Na wengi huwa ni Watoto chini ya miaka ya mitano tena zaidi wa kike na wale wa kiume labda kama hajatahiriwa.

Wengine ni wanawake na zaidi wanawake wajawazito

Wengine ni wote ke na me lakini wazee ambazo utakuta usafi kwao ni shida,kinga za mwili zimeshuka,lishe dunia,kunywa kwao maji ni shida

Kwahiyo take care na UTI za Dar nyingi za wizi tu mjini shule!!
 
nashukuru kwa nasaha ya kitaalum mkuu
 
habari ya sahv wananajamvi ? kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno mda mchache sana kinakuwa akiumi naomba mawazo yenu tafadhali wadau
Usipo pona na dawa za hospitali nitafute mimi nipte kukutibia maradhi yako ya kiuno.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
ok sawa mkuu aina shida
 
sawa mkui ngoja niarbubdawa za wazungu nikishindwa ntakutafuta
 
Me.... kapata UTI ni kazi sana labda kama hajatahiriwa.

Maana naona UTI ndiyo umekuwa wimbo wa mjini lakini napenda kuwahabarisha tu wana JF

Wengi wanaombiwa wana UTI ni biashara tu hiyo mnapigwa tu,wachache sana wanaoguliwa UTI Tanzania na Duniani kwa ujumla.

Na wengi huwa ni Watoto chini ya miaka ya mitano tena zaidi wa kike na wale wa kiume labda kama hajatahiriwa.

Wengine ni wanawake na zaidi wanawake wajawazito

Wengine ni wote ke na me lakini wazee ambazo utakuta usafi kwao ni shida,kinga za mwili zimeshuka,lishe dunia,kunywa kwao maji ni shida

Kwahiyo take care na UTI za Dar nyingi za wizi tu mjini shule!!
Huu Ugonjwa wa UTI kweli umekuwa sana kipindi hiki kila hospital hapa mjini ukipima ni UTI
 
Mkuu kazunguushe kiuno kwa shemegi alafu urudi ulete mrejesho.Kuna kipindi niliumwa sana kiuno mkuu hadi nikicheka kiuno kinauma,nikishtuliwa nikashtuka kiuno kinauma nilikuwa Zanzibar na shemegi yako yupo Moshi,nikachukua off nikaja nikakizunguusha mbona kilipona?!Baada ya muda kuna junr staff wangu akaumwa alikuwa hajaenda kwake mudfa nikampa off nikamwambia akifika azunguushe kiuno wallahi alirudi amepona!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom