Search results

  1. X-Codee

    Maisha yabinadamu katika computer !!

    Sometimes serious sometime kidding hayo ndo maisha yabinadamu. Hivi kwa mfano vitufe au kwalugha nyingine button za computer zingelikuwa katika maisha yabinadamu wewe ungelitumia button zipi zaidi kutokana na situation uliyonayo? Mfano:- >>Play button Hapa una switch maisha yaendelee...
  2. X-Codee

    Google wanazidi badili ulimwengu

    Fahamu yanayoendelea kwenye technology kwasasa na uvumbuzi wa google. Mungu atusaidi tufike huku siku moja.
  3. X-Codee

    Programmer naomba msaada wenu

    Nimekua natamani kujua facebook wanatumia tools gani kuchukua post heading na picha, pale tunaposhare link (tunapo copy link ya website au blog nakuiweka facebook) Sisi tuna weka link tu, wao wanaleta picha, post heading na url ya website hapo ndo nataka jua wanafanyaje. Napenda kujua...
Back
Top Bottom