Search results

  1. reactionmechanism

    Huyu mwanamke simuelewi!!

    Nimekuwa kwenye mapenz na binti mmoja HV rika langu kabisa,mwanzoni tulipendana sana kipindi tuko mwaka wa kwanza chuoni tukikaa kwenye hostel za vyuo vyetu.Kwa hyo hata kugegedana ilkuwa tunakwenda guest tunamalizana tu fresh,huu mchezo uliendelea kwa miezi kadhaa kama nane HV. Kilichonifanya...
  2. reactionmechanism

    Wanawake ambao tumewahi kudanganywa tukutane hapa

    Najua kama angekuomba msamaha usingekubali kabisa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  3. reactionmechanism

    Wanawake ambao tumewahi kudanganywa tukutane hapa

    Umeongea ukweli kabisa....yaan ukimwambia mm nasukuma mkokoteni au nauza mitumba haelew...mwambie nasome medicine muhimbili university namaliza mwakan tu udaktar khaaaa sio kwa kusumbuliwa huko hahahaaaa
  4. reactionmechanism

    Ukimstahi Mke huzai naye.....

    Ikoje hii mkuu....tuelezee
  5. reactionmechanism

    Wanaume nyie

    Hao sio mashoga jmn au
  6. reactionmechanism

    Mwanamke ni sawa na jua umuhimu wake ni pale linapokosekana anahitaji upendo na heshima tu!

    Kiukwel mwanaume unaweza ukjituma kumpenda mwanamke kwa dhati kabisa ila akishajua unamnyenyekea sana aisee anatumia nafasi uliyompa kukukosea heshima...mpk tunalazimila kuendeleza utemi yaan hawa viumbe mm nashindwa kujua wanapenda MTU uweje maana ukiwapenda sana na kuwaheshimu huwa wanakuona...
  7. reactionmechanism

    Msichana kanifananisha, nimwambie au nisimwambie?

    Nenda ukifika angalia movie.....half umwambie ukweli maana kula visivyo vyako sio haki
  8. reactionmechanism

    Msichana kanifananisha, nimwambie au nisimwambie?

    Hahaaaaaa.....yaan hujui nn cha kufanya hapo et
  9. reactionmechanism

    Ndoa ni tamu sana

    Ndoa tamu mwanzoni tu baada ya kama 3-4 years MTU anakwambia anataman atoke ...kiukweli mm kama kuna mtihan nmebakiza n huu maana cjui utakuwaje....Hasa wanaume ndio wanaonekana kulia zaid sjui n kwann??
  10. reactionmechanism

    Kipimo sahihi cha kutosheka kimapenzi (kwa wenye ndoa tu!)

    Mm naona n vema kuunganusha hzo point zote mbili yaan qualitative and quantitative kwa sababu ukimuandaa mwanamke sana na romance ya kutosha half ukampiga bao moja tu chali tena bao lenyewe umekaa mchezoni kwa DKK mbili tu Walahh its not good....kitu cha msing muandae kisaikolojia vzur with...
  11. reactionmechanism

    Faculty IPI n nzur kusoma kati ya hz mbili

    Nlkuwa naomba niwaulize wadau wa jf ,et kati ya kusoma COMPUTER SCIENCE udsm na BUILDING ECONOMICS ardhi,IPI n faculty nzur hasa kulingana na soko LA ajira kwa nchi yetu ......
  12. reactionmechanism

    Ni kweli wanaume waliooa wanawake wasomi wanapata raha hizi?

    N kweli aisee......wanawake wenye degree weng wana matatzo yao....labda akupende mwenyewe tu
  13. reactionmechanism

    Ujauzito ulivyoharibu ndoto za mwanafunzi wa darasa la tatu Morogoro

    Duuuh.....std 3???? Huu n ukame wa sex au kitu gan duuhhh
  14. reactionmechanism

    Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

    Inategemeana mkuu na chuo ulichosomea.....half kutokupata supp haimaanishi unajua sana au unajituma sana....mbona kuna watu wa nasoma vzur ila sup wanapata tu....ieleweke tu sup sio kilema....mnaosema kupata sup n uboya ndio wale mnaoamin wale wanaofeli masomo hawana akili....sio...
  15. reactionmechanism

    Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

    Huyu jamaa nahis kasoma zile coz ambazo unaweza ukasomea hata ukiwa juu ya mti....HV Kweli MTU usome medicine,au pharmacy tena usomee Muhimbili university unaweza kuandika huu upupu wa HV??? Nenda ukapimwe kabisa akili ww
  16. reactionmechanism

    Wanawake msitufokee, tunaelewa be humble

    Kila mwanaume aliyeoa analaumu sana huku mitandaon....huku n kutuogopesha ambao bado hatujaoa jmn....inamaana wanawake wamekuwa wakorofi siku hz au?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom