Search results

  1. kanali gadafi

    Natafuta clinical officer kwa ajili ya kazi

    awe mwanaume au mwanamke , sehemu ya kazi ni morogoro wilaya ya mvomero. kama una ndugu au rafiki anahitaji kazi mwambie na mhakikishie hakika kazi amepasha pata, anipigie kwa namba 0625 66 92 54 kwa ajili ya interview. NB; hakuna habari za nisaidie nitakupa kitu kidogo, weledi kwanza...
  2. kanali gadafi

    Nafasi 3 za kazi Turiani hospital

    Rejea mada tajwa hapo juu, wanahitajika medical officer 2 Radiology technician 1 Karibuni sana , wenye uhitaji tuwasiliane kw namba 0715 085702
  3. kanali gadafi

    Harusi za dar na kuku za siku 10

    Hivi nyie mnao andaa sherehe za harusi hapa dar ,kwa nn mnapenda kutulisha kuku za siku 10 , ??? Unakula kuku laini kama samaki mchanga , Jifunzeni basi ,,,mbina nyie mkija huku mikoani tuna waandalia kuku wa kitanzania Mnaboa !!!!
  4. kanali gadafi

    Msaada,,faster......

    Namna ya kufanya screen shot kwa simu ya Tecno Y -6
  5. kanali gadafi

    Hatimaye wahenga waonekana Morogoro

    Umekuwa ukisikia mara wajenga walisema hivi Wahenga walisema vile Leo hii wahenga wameonekana huko morogoro wakiwa chimbo wanavumbua misemo mingine
Back
Top Bottom