Search results

  1. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Pia kulikuwa na : Rombo Investment,Kamwanga Line, Loliondo Bus, Dar Express, Salama Star, Fresh ya Shamba,Osaka,Hood,Njuweni(Ya Mzee Mfinanga wa Kibaha), Imamu Express , Machame, Wakongwe wengine wataongeza.
  2. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    The big Mayai yalikuwa ni ya Hood Bus Limited
  3. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    DAh! Kwa hiyo Tate umepanda zile Bus za Charongite, Bangaseka na Said Abeid toka Ifakara to Namwawala!
  4. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Zainabu bado anadunda mpaka leo?
  5. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Yes alikuja kwa spidi nzuri,baadae nae akapotea.
  6. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Kiswele nilisikia ni Kijiji huko Kama si Liwale nii Nachingwea . Ndio kwao huyo tajiri.
  7. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Tajiri wa Widambe nasikia aligongwa na gari pale Mnazi mmoja Stendi?
  8. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Wakuu Mrangi na johnthebaptist, mnakumbuka Gari za Kiswele malori na mabasi yote namba zake za usajiri zilikuwa zinaishia na 89? Yaani kama hivi TZ 1089, TZ 2189. Sijui ndiyo masharti ya Wataalamu!?
  9. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Matajiri wa Njombe na Makete huko ,walikuwa na Mabus mengi kama Lupelo, Mwafrika, Mwidambe.
  10. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Yes , hicho kilikuwa kule upande wa pili wa Ifakara Tazara station na jirani Air strip( Uwanja wa Ndege ndogo).
  11. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Nakayimuka Bambo. aisee wewe utakuwa tunafahamiana ngoja nije chumba cha pili huko. g
  12. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Nilipanda kimeo ,kutoka Kisutu kuelekea Arusha , kampuni ya mabasi ya Imamu . Ile Safari sitahisau, tumeondoka Kisutu saa kumi na moja jioni tumefika Arusha kesho yake saa nne na nusu Asubuhi!.
  13. mtemiwaWandamba

    Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Sharuks : Abbas Gulamali Mhindi wa Ifakara . Dar Oyee : Gulam Somji Mhindi wa Mahenge. Halafu kulikuwa na Ulanga Express , mali ya Ushirika wa vijiji vya Tarafa ya Malinyi.
  14. mtemiwaWandamba

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Operesheni Kambarage 1990/91, 832KJ :CO-- Luteni Kanal Urio F-Coy OC-Luteni Mnyomole Mteule - Sajini meja Sanga Wakufunzi: Sajini Taji Juma Rajabu Sajini Taji Omari Saidi Sajini Liundi Matron Sajini Maingu...
  15. mtemiwaWandamba

    Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

    Arusha Tech. miaka ya themanini mwishoni kulikuwa ba kikundi cha punch kikijiita Passerby(mpita njia).
  16. mtemiwaWandamba

    Awamu ya tano: Kuweni Wakali, msionee! Tangulizeni utu na ubinaadamu kwanza!

    Wakuu huyo mtu aliyeanguka ., hali yake inaendeleaje?
  17. mtemiwaWandamba

    TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

    Walikua Pamoja katika harakati.Wakati Maalim Seif Waziri Kiongozi Zanzibar , Shaaban H Mloo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Na walitimuliwa wote CCM baada ya ile hali mbaya ya kisiasa kule Zanzibar.
Back
Top Bottom