Search results

  1. D

    Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

    sidhana kama kama kuna haja ya mtu kusumbua kichwa chake kufikiria alichosema ngawaiya, huyu ni mmoja wa wale watu wanaoshughulikia matumbo yao tu.
  2. D

    Chadema ni kama timu ya mpira.......

    nakubaliana na wewe lakini: mimi ningeshauri kwamba kwasababu leo chadema ni taasisi basi ingejigawa katika makundi mawili ya kudumu hadi 2015. la kwanza ni wale ambao si wabunge ambao wataendelea kutuelimisha wananchi bila kujali kwamba kuna vikao vya bunge au la, hawa wapite kila kijiji...
  3. D

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    hii ni changamoto kwetu sisi wananchi. mimi nafikiri kwasababu hawa polisi ni watanzania na wengi wao tuko nao humu mitaani pamoja na familia zao, inabidi kufikiria njia ya kupambana nao au ana kwa ana hata kama watatumia silaha za moto. au kwa namna njingine ambayo siyo ana kwa ana...
  4. D

    Nguvu ya Umma yamshusha Katibu mkuu wa CCM juukwaani

    hii inazidi kunitia moyo kwamba sasa angalao baadhi yetu si lazima mtu fulani aje kutuambia kwamba fulani anatudanganya. tumeanza kupata uwezo wa kupambanua mambo ijapokuwa tumechelewa sana.
  5. D

    Hai kwachafuka; Viongozi wa CCM waendelea kula kichapo! Dr.feki anusurika kula kichapo

    mimi naunga mkono wapigwe ili wajifunze kuwaheshimu waliowaweka madarakani. kwa mfano yaliyotokea kule tarime, kama wananchi wasingefanya walichokifanya yule mbunge na ccm yake angewadharau sana, lakini baada ya tukio lile hata kama akienda tena leo au kesho ataenda kwa adabu. hii inanitia...
  6. D

    Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    kiyabo hana sifa ya kujadiliwa hapa, na kufanya hivyo ni kumkweza.
  7. D

    Zitto: Serikali ya JK katika hali mbaya kifedha; Mkulo Akanusha!

    Hali hii isingeweza kutokea kwasababu ni ya kujitakia.walioko serikalini ni kundi la wanyonyaji kwahiyo bado hali itaendelea kuwa mbaya kumbuka bado mgao wa umeme tuliotangaziwa haujaanza.
  8. D

    Dk.Slaa anasa waraka wa siri CCM, afichua wizi wa mabilioni hazina

    najua kila anaeipenda nchi yetu anafurahi anapoona au kusikia matukio kama haya lakini kuna wachache wetu hawapendi kabisa kusikia, mimi nikiwa mmoja wa wale wanaoitakia mema nchi yangu na wananchi wake nashauri cdm iimarishe sana ulinzi wa hawa viongonzi hasa wale wa kitaifa wala isiogope...
  9. D

    Maandamano makubwa ya kumng'oa mbunge bandia wa SHY MJINI yaja.

    pamoja na kukuunga mkono, ninaomba mungu atupe hekima na maarifa ya kufanikisha hili kwa muda mfupi ili tupate muda wa kushughulikia mambo mengine yanayohusu nchi yetu iliyowekwa rehani kwa wageni na baadhi ya wenzetu wasiokuwa na utu hata asilimia moja.
  10. D

    bashe adodondoka uchaguzi udom

    kazi nzuri, tunapojimarisha kwenye vyuo ndio mwanzo wa chama kuwa na mizizi kila kona ya nchi kwasababu vyuo vinakua na watu kutoka sehemu mbalimbali.
  11. D

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    tanzania hakuna udini, wewe na ccm ndio mnaoshabikia udini.
  12. D

    Dr Slaa na Chadema sasa basi, inatosha!

    wote yani watanzania kwa ujumla wake sasa tumekubali kwamba chadema inakubalika. na hasa baada ya chadema kufahamu udhaifu wao ulikua wapi. tunajua kwamba baadhi ya weakness ilikua. 1. migogoro iliyosababisha (mfano) kigoma ambayo kwa upande wangu ilikuwa ndiyo ngome ya upinzani kupoteza majimbo...
  13. D

    Ndesamburo afutiwa kesi ya Uchaguzi Moshi Mjini!

    namwomba ndesa, kama mwenyekiti wa cdm kilimanjaro ahakikishe kwamba majimbo ya same mashariki, vunjo, moshi vijijini na siha yakuja cdm kwasababu kwa sasa hivi wananchi wa haya majimbo wanaikubali cdm, hasa katika jimbo la vunjo ambalo lilipotea kwasababu john mrema alichelewa kujitambulisha...
  14. D

    Mbunge Chadema atupwa mahabusu; Wafuasi wake wawapopoa polisi mawe, risasi zarindima

    tunajua hizi ni mbinu za vitisho, kumbukeni kwamba shinyanga kwasababu bado haijagawanywa rasmi,ina majimbo manne yalioko chini ya chadema, naswa maghari, maswa mashariki, meatu, bukombe na la tano shinyanga mjini ambalo ushindi ulihamishiwa ccm. nimesema hivyo kwa maana kwamba ngome ya chadema...
  15. D

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    hayo malipo ni sawa, nafikiri utakubaliana na mimi kwamba amechangia sana kuongezeka kwa wabunge wa chadema kwenye bunge letu pamoja na madiwani hata wabunge wote wa nccr wamepata ubunge direct au indirect kupitia chadema.pia kazi anoyoifanya sasa akiwa nje ya bunge ni kubwa kuliko ya rais...
  16. D

    Chadema watamfukuza kazi mkurugenzi wa Moshi

    kumbuka kiongozi wetu zitto ndio aliyekuwa anaishauri serikali inunue mashine za dowans.
  17. D

    CHADEMA yazindua operesheni twanga kotekote

    hongera sana, lakini mbona sijawahi kusikia jambo kama hili lindi, mtwara, ruvuma, morogoro, dodoma, iringa na pwani hasa maeneo ya vijijini. kila siku nasisitiza hili kwasababu nataka mwamko nchi nzima na sio vipande vipande. hakikisheni pia kila m/kiti wa mkoa na kila wilaya ina gari moja...
  18. D

    Maandamano ya CHADEMA kesho vipi?

    usiogope kwasababu haya mabomu yana mwisho.hata hao wanaoamrisha/ruhusu watumizi ya mabomu kwenye maandamano ya amani wanaelewa kwamba upo mwisho na huo mwisho haupo mbali.na watajutia. viongozi wa chadema msiogope tuko pamoja nanyi kimwili lakini zaidi tupo pamoja kiroho.kuna siku tutapata...
  19. D

    huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

    ni kweli kama unataka maendeleohaitakiwi makundi makundi katika taasisi yoyote kwa hiyo ni vizuri kutokuegemea upande wowote. lakini nawashauri baraza la wazeewashauri/wasoma alama za nyakati wa chadema kutafuta suluhisho la makundi ndani ya chadema kwasababu sisi ambao hatuko ndani tumeshaona...
  20. D

    Chadema kuwaadhibu madiwani wake watatu mkoani Arusha

    hapa inaonekana kuna msimamo ambao chama kama chama wameshakubaliana, kwahiyo si vyema wengine wakaanza kurudi nyuma kwani kufanya hivyo wanasalitiana na pia kukisaliti chama, na mwisho wa siku wote wataonekana hawana maana mbele ya wananchi, upinzani na ccm pia.ni vizuri wakaendelea na msimamo...
Back
Top Bottom