Search results

  1. Igombe fisherman

    Kama wenye PhD ya Aquaculture hawana hata bwawa la samaki, mimi nitaweza vipi?

    Aliyeandika kitabu cha fanya biashara utajirike yeye biashara pekee aliyoifanya ni kuuza hicho kitabu
  2. Igombe fisherman

    Kiongozi wa Israel anamlalamikia Biden kuwa anaiumiza nchi yao

    Harafu hilo ndo taifa teule. Nani kaliteua USA
  3. Igombe fisherman

    TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Selikali haiwezi tangaza shule kufungwa kwa kuwa matokeo ya mvua yanautofauti wa kimazingira kwa kila sehemu. Kuna sehemu hata hiyo mvua hawaijui kabisa. Kuna maeneo mengine ni adimu sana mvua kunyesha mchana. Kuna mazingira mengine asubuhi huwa ni jua tu mfano mkoa wa mwanza
  4. Igombe fisherman

    Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Anzia chini kusoma mkuu. Anamaanisha kama mwehu tu magari anayaona na anayakwepa inakuwaje msomi akae barabarani mpaka yamgonge?
  5. Igombe fisherman

    Lindi: 13 wafariki katika ajali kati ya Coaster na Lori

    Hilo tuta halitoruhusu gari la nyuma kulipita gari la mbele over take. Hiyo hali inatakiwa tu pale penye njia nne na kuendelea
  6. Igombe fisherman

    Lindi: 13 wafariki katika ajali kati ya Coaster na Lori

    Hapo mbona mahesabu tu mshikaji. Yaani ile unaona dude limeegemea kwenu we unaenda upande wa lenyewe. Kitambo zipigane busu we uko zako mtaroni unazicheki tu kama mechi ya simba na yanga yani
  7. Igombe fisherman

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Kwanini yatue mitaani wakati ya iran yalitua kwenye makambi ya kijeshi
  8. Igombe fisherman

    Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Ameshindwa kupata watu wake waliofichwa katika eneo dogo sawa na wilaya ya ukelewe ataweza kuwaona watu watakaofichwa eneo kubwa kuliko nchi ya tanzania. Yaani mtu afichwe ilan wamuone ila washindwe kuona mateka waliofichwa gaza?
  9. Igombe fisherman

    Kariakoo derby kupigwa April 20

    Mbona namba zinajulikana za tarehe au tufanye namba za mwezi yani nne
  10. Igombe fisherman

    Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Hivi mumeliona vipi goli la Aziz kii. Mpiraumepigwa kutoka uwanjani na ukagonga nguzo ya juu amabayo iko nyuzi 90 na mstari na ikawa ndani ya gori. Hivyo ilikuwa imeshavuka nyuzi 90 na kwa shelia za mhamo (low of movement) ilitakiwa iwe na msukumo kuelekea ndani Swali ni je Kipi kiliurudisha...
  11. Igombe fisherman

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Wambie wakalale afrika kusini kesho waje na ndege ya kwanza nauli kwangu
  12. Igombe fisherman

    Huyu hapa Mgonjwa wa kwanza kuwekewa Figo ya Nguruwe

    Siku hizi wanatumia za mabondo ya samaki sangara pia
  13. Igombe fisherman

    Gari za watoa misaada Gaza zilipigwa kwa makusudi moja baada ya nyengine

    Hilo nitaifa teule. Linatandika wote wasio wateule mpaka wawe wateule
  14. Igombe fisherman

    Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    Taifa teule tandika hayo magaidi ya poland na uingereza hadi yajue wewe siyo wa kuchezea. We unataka wafe watu wote harafu yenyewe yanapeleka chakula wakapone watu wote!
  15. Igombe fisherman

    Masaa machache yajayo Mamia ya makombora ya Iran yatatua Telaviv

    Ila inawezekana hata huu muda wamemuudhi Mungu wao!
  16. Igombe fisherman

    Israel yatoa vitisho kwa Marekani kama haitatumia kura yake ya veto kupinga azimio kwenye UNSC

    Usimfananishe mandonga na vitu vya ajabu. Yaani mandonga mtu kazi umfananishe na israel kweli taifa linalopambana na mgambo miezi 6
  17. Igombe fisherman

    Mwili wa mwanajeshi wa US waokotwa Yemen pwani

    Hata bahari inamakaburi. Kinachotakiwa tu muidhinishe mazishi basi. Hautouana tena mwili wa mhusika kwa namna yoyote
  18. Igombe fisherman

    Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

    Ile ilikuwa ni video game kama ile ya september 11 kule marekani ili kuuhadaa ulimwrngu kuwa wanajeshi bora. Usa na israel ndo mataifa yanayodanganya watu kuwa wako vizuri kijeshi kwa njia hiyo
Back
Top Bottom