Search results

  1. Ramadhanmohamed

    Korea ya Kaskazini kuandaa silaha za kuifuta USA duniani

    Ni kwer lkn hakuna mtu anae penda kuwa nyuma ya mtu, na hao china na urusi wanaweza wakamnafikia marekani kwakuonesha kama vile wanamuogopa na kumuunga mkono kisha wakawa wanamsapoti. Kwa siri na kumchochea korea kaskazn ili ajichanganye wamdondoshe marekani ndo moja kati mbinu za kijeshi.
  2. Ramadhanmohamed

    Korea ya Kaskazini kuandaa silaha za kuifuta USA duniani

    Nimewafatilia vzr na nikawaelewa unajua haya mambo si rahisi kama yanavyo onekana hawa jamaa walisha wahi kupigana na malekani hapo nyuma au zamani kipindi hcho marekani anatumia mwanvuli wa umoja wa mataifa. Anaweza kuishambulia N. K kisha akajikuta anapambana na china pamoja na urusi kama...
  3. Ramadhanmohamed

    Mwanamke na mwanaume wakifumaniwa , anaedhurika ni mme. Je kuna haki kwer hapo?

    Ni kwer inakuwa ni ngumu kuamini lkn bas tuashumu ndivyo ilivyo hlf tuone inakuaje
  4. Ramadhanmohamed

    Mwanamke na mwanaume wakifumaniwa , anaedhurika ni mme. Je kuna haki kwer hapo?

    Mwanaume kupigwa kuchinjwa na kumwagiwa maji ya moto ila mwanamke hafanyiwi hvyo ili hali yeye ndio kanitaka na kunilazimisha.
  5. Ramadhanmohamed

    Kila anapokuja kwangu anakuja kavaa vibaya hadi kero

    Kama anakuja akiwa vibaya PIGA PUMBU KESHO ATAKUJA AMEVAA VZUR ACHA UJINGA KABSA WEWE.
  6. Ramadhanmohamed

    Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

    Umeonaaaaa eeeeeeeh,,??
  7. Ramadhanmohamed

    KINACHOWAPONZA WANAWAKE WENGI NI MAAMUZI DUNI KWENYE MAMBO YA MSINGI..ONA HII

    GOOOD GOOOOD GOOOD YANI KAMA VILE UMEWAPA JIBU KAMILIFU SIDHANI Kama WANAKUELEWA WANAWAKE NI TATZO Sana YAAAANI BASI TU!
  8. Ramadhanmohamed

    kupata maumivu mwanamke wakati wa kujamiiaaa

    kwa kwel tatzo hlo ni kubwa sana, hasa kwa wakna dada, ila mwanamke kuwa mkavu wakat wa kujamiana kunatokana na maandaliz kabla ya tendo lenyewe, na ukichunguza vzur mabinti wakavu mara nyingi hata maumbile yao huwa madogo membamba kikubwa ajitahdi kujizoesha kutumia maji kwa. Wingi kabla ya...
  9. Ramadhanmohamed

    Wanaoshangaa Tanzania kuomba Afrika Kusini huenda wakawa hawajui haya

    Hakuna cha nongwa wala nini ni unafki mkubwa wenzetu wana ubia wa karibu na hao makabulu wa kizungu leo wana taka msaada gani ujinga kabsa huo .
  10. Ramadhanmohamed

    Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

    unajua mambo mengi yanayofanywa na mabinti au vjana wa siku hz ni sampuli flani ya ushamba mara nyngi binti mtazamo wake unakuwa upo tu pale endapo mwanaume anamjibu vzur ndie anaamini yuko sawa kwa kumuoa,lkn ni jambo ambalo si kwel,unaweza kujibiwa vzur na ukaamin kisha ukalidhika kumbe...
Back
Top Bottom