Search results

  1. A

    Soko la biashara ya asali

    Husika hapo juu wakuu, Nataka kujikita ktk biashara ya Asali ili niweze kujikwamua kimaisha, Nataka kutoa Asali Tabora na kusafirisha Dar. Sasa naomba kufahamishwa kwa huko Dar ni wapi ntapata wahitaji zaidi, Kwa kuanzia nataka nianze na mzigo wa lita 50 hadi 100. Naombeni ushauri wenu wadau.
  2. A

    Mi Mgeni Naomba kuonyeshwa mazingira ya humu.

    Habari zenu wakuu (ndo nilivyosikia mkiitana) Naomba mnipokee na kunionyesha mazingira ya humu, ila naomba nichague member wa kunitembeza humu naye si mwingne bali ni miss chagga. Maana anaonekana na mkarimu sana kabla hata sijafka. Ila ntaomba anipeleke maeneo yote hadi kule mnapokuita PM...
Back
Top Bottom