Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye fani ya ufundi umeme (ELECTRICAL INSTALLATION) CBET LEVEL III nilihitimu mwaka 2014 na nilifanikiwa kufanya kazi sehemu mbalimbali hasa kama fundi wa kujitegemea wa wiring majumbani sasa mambo yamebana nahitaji nipate sehemu niajiriwe ni mchapa kazi...
jamani Kwa upande wng naona kama awa jamaa wanakosea katika ukusanyaji wao wa kodi na kumkadilia mfanya biashara Kwa maana makadilio yako wamesha yapanga na kuuliza mauzo ya mlipa kodi ni kumtoa akilili mlipa kodi Kwa sababu ukiwatajia mauzo yako wanakubishia utasikia aiwezekani Kwa siku uuze...
Mimi ni fundi umeme Kwa ngazi ya cheti nimesoma veta Nina leve lll miaka 23 nimejiajili mtaani Nina kaofisi pia nauza vifaaa ila natafuta kazi maana hari imekuwa ngumu sana mtaani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.