Search results

  1. W

    Shibuda achangia bajeti ya waziri mkuu; ataka posho ziongezwe kwa jina jipya

    acha ujuha hayo si ya mbowe ni sera ya chama!
  2. W

    Hongera Simon Tyosela Diwani wa Urugu kwa kuhamia CCM

    BIG Mtani kwa kutomsahau punda lakini usisahau kucheleawa kufunguka kwa barabara kuliko sababisha muwe maskini kupita sehemu nyingine kumesababishwa na chama cha magamba (CCM)
  3. W

    Wanachadema huru maswa

    Hatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiri hatimaye imetimia baada ya kuwa tumetengana kwa mda wa miezi tisa toka ndugu zetu washikiliwe baada ya kudaiwa kumuua dereva wa mgombea ubunge wa ccm hatimae leo tuko nao pamoja baada ya hakimu kufuta kesi iliyokuwa inawakabili.OMBI LANGU KWA VIONGOZ WA...
  4. W

    Wanachadema huru maswa

    Hatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiri hatimaye imetimia baada ya kuwa tumetengana kwa mda wa miezi tisa toka ndugu zetu washikiliwe baada ya kudaiwa kumuua dereva wa mgombea ubunge wa ccm hatimae leo tuko nao pamoja baada ya hakimu kufuta kesi iliyokuwa inawakabili.OMBI LANGU KWA VIONGOZ WA...
  5. W

    Kikwete Hakutakiwa kuwa Raisi na Mgombea 2010. "Ufisadi na Rushwa ni Sifa?"

    We mtanzania toleo gani kipi kipya kwako hapo unaochohitaji evidence wakati kila kitu kipo wazi hata wenyewe wakati wanajivua gamba walificha na kusema hata kama hawana ushahidi wale wote wanaotuhumiwa na ufisadi wataondolewa bila hata ya ushahidi wakati kila kitu kipo wazi nina wasi wasi na...
  6. W

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    Oooooops.........yani..,....kila siku nazidi kuchanganyikiwa ila tusisahau mtoto wa nyoka ni nyoka na hv wamekosa mtu mwenye ujuzi wa masuala ya umeme kumuweka kwenye nafasi hiyo ifike sehemu serikali yetu isione aibu kama haina wasomi ndani ya chama itafute nje ya chama isione aibu kuliko...
  7. W

    Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

    Ni kweli amekufa? Na kama ni kweli tuseme yule aliekua anadai anamlinda mwisho wake umefika? Maana mlinzi wake ka-rest in peace au kamuachia urithi! Jk pole kwa kumpoteza mlinzi mjaribu yule mngine anaeibukia kwenye mambn hayo awe mlinzi wako!
  8. W

    JF vs FACEBOOK

    Nimekua member wa FB kwa muda wa miaka miwili lakini hakuna faida niliyoipata kwani nilikua nakutana na post nyepesi hususani za mapenzi na sura za watu ambao wako kama kwenye kutafuta soko la biashara ya........lakini tangu nilipoanza kutembelea jf hata kabla sijajiunga nayo nilianza kupata...
Back
Top Bottom