Habari wana jamvi,
Hii issue ya stika za nenda kwa usalama limekuwa kama uchawi. Wazee wa favor wanatusumbua kweli kweli hivi zina umuhimu? Kwanini zisitolewe? Unakuta gari mpya namba E haina hata mwaka imekaguliwa na TBS ila unaombwa stika.
Huku Umeme mgao, kule stika na kule mikopo ya Elimu...
Katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Rais wetu la kusogeza huduma karibu na Wananchi, mimi nashauri Halmashauri ya Kisarawe nayo ihamie kijijini maana ipo mbali sana na vijiji inavyovihudumia.
Ofisi za halmashauri hii zingetumika kuunda Halmashauri mpya ya Pugu au Chanika iwe chini ya Jiji la...
Habari zenu wana jukwaa,
Niende moja kwa moja kwenye mada, Wateja wa Dawasco wamekuwa wakilalamila kupewa bili za uongo tofauti na matumizi yao ya maji mimi ni mmoja wao.
Yule waziri alieambiwa akavute naona angeanzia bange zake Dawasco yani bili zao ni dhaifu mno hazina uhalisia
Habari za asubuhi,
Mh. Rais Alitoa agizo kwa taasisi zote za serikali kuhakikisha wanatoa tenda ya ulinzi kwa SUMA JKT, hali sio hivyo pale muhimbili.
Sina chuki na kampuni binafsi ila watumishi wake wamekosa maadili hii ni tofauti na askari wa SUMA JKT ambao wananidhamu ya kazi na wamepitia...
Hili jimbo hakuna kitu mbunge kilasiku yupo anahamasisha maendeleo kwenye majimbo mengine, sidhan kama Mh Simbachawene jimboni kwake kupo kama kisarawe
1. Hospital ya kisarawe na masaki watu wanakufa kilasiku hakuna dawa hakuna vipimo ninaushuhuda ndugu zangu sio chini ya watatu wamekufa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.