Search results

  1. M

    Africa amka, anza kutengeneza majina yako

    Ndugu wana jamvi, Nimekaa nikafikiria sana hivi kwanini Africa hatutaki kutumia majina yetu ya asili, ama hivi kweli tumekosa watafiti ama maprofesa ambao wangeweza kutembea nchi nzima kila kabila wakatafiti majina ya asili na maana zake wakatengeza kama kitabu kikubwa cha majina ya asili na...
  2. M

    Mchumba wangu kaning,ata,

    Wakuu nakuja jukwaani kuelezea yaliyonikuta siku ya leo, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 bahati nzuli nilipigiwa simu na mama yangu mdogo kua kuna binti mahali flani ananifaaa. Basi nikapanga siku nikaenda nikamwona, kweli alikua ni msichana mzuli sana basi tulianza mahusiano nae mapenzi...
  3. M

    Natamani kuanzisha kiwanda cha mafuta ya alizeti

    Mimi ni Kijana mjasiliamali natamani nianzishe kilimo cha alizeti alafu mwisho ninunue mashine ya kukamua hayo mafuta lakini changamoto yangu sijui hiyo mashine inapatikana wapi, pia sijui changamoto zitokanazo na kilimo cha alizeti pia hali ya hewa nzuli kwa kilimo cha alizeti, hivo wapendwa...
Back
Top Bottom