Search results

  1. M

    Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

    Tumuimbee malengo yake jpm yafanikiwe kwani kipindi cha nyuma ke waliotuona mabwege hatujielewi
  2. M

    Vifaa vya Kutengeneza Mikate

    Tukiamua tutaweza kwenye uchumi Wa viwanda
  3. M

    Urais wa John Magufuli ni mpango wa shetani kuvuruga taifa hili?!

    Chdema hamna akili jipangeni, chama kua na mvuto lazima kiwe na Sera unayoeleweka nyie Sera yenu ni nini ngoja ccm iwachambue kama karanga, jpm is a smart man
  4. M

    CHADEMA mna chaguo za kubaki salama

    Mwisho Wa cdm umefika ukingoni, walifanya dhambi mbaya kumtelekeza Dr, slaa pengo lake halitazibwa, pia kuindoka kwenye mzizi Mkuu Wa falsafa yao ya kupambana na rushwa pamoja na uadilifu ndo kiliwaoaisha, sasaiv watakuja na nini kipya kitakacho warudisha kwenye chati, ni kazi kweli
  5. M

    Top Tanzanian opposition leaders charged with sedition

    Acha wawape adabu mlizoea kubembelezwa na kukaribishwa ikuku, njooni na falsafa ingine ya siasa sio maneno tu na kuitisha maandamano yasio na tija kwa RAIA Wa kawaida, sioni ubaya Wa jpm, hao ni washirika wenu wanajarib kupotosha tu
  6. M

    Paul Makonda katoa ujumbe mzito kuwajibu wanaotoa waraka wa kuikosoa Serikali

    Jpm achape kazi soon hao viongozi Wa dini wataona mlango walioupitia sio ,
  7. M

    Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

    Sasa tume huru itaniletea elimu, itaniletea chakula kwangu, italeta technologies nchini, italeta itajenga miundombinu mizuli, italeta madawa ya kilimo kwa wananchi, naungana na mchangiaji kua cha msingi ni dhamira ya kweli kwa uongozi uliopo sehem husika sio katiba wala demokrasia, wengi...
  8. M

    Kagame and Museveni met to discuss SGR

    Kama ni kweli basi ke wajipange jpm anakuja kwa speed ya 4g
  9. M

    Tanzania to fund its own projects

    Baget ndogo lakini ikitumiwa vizuli kwa kujibana itafanya mambo makubwa
  10. M

    Serikali nzima ya Dubai imehamia Tanzania

    Duu sekt ya utalii hongeren
  11. M

    Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

    Nusu ya hiyo hela inakuja Tanzania kunua unga
  12. M

    Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Tumieni akili achaneni na siasa ,mvua ya mwezi Wa December 2017 imesababisha watu wengi kulima na kuivishia pamoja na kusababisha mahindi kuwa mengi na bei ya chini kwa hiyo ihukumu mvua kunyeesha, mfano sasa kwa wale waliolima nyanya wwnapiga hela kinoma ndo kilimo kilivyo
  13. M

    Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

    Wachumia tumbo tu hao, ngoja jpm achape KAZI Mungu yupo pamoja nae
  14. M

    Tujikumbushe burudani anazopenda JPM

    Duuuu mnachekesha
Back
Top Bottom