Search results

  1. M

    Ushuhuda wangu: Vodacom Tanzania wanawaibia wateja wao muda wa hewani (Airtime)

    Habari wadau wa jf na wote mnaopita humu kupata habari; kama heading ilivyo hapo juu ninaushahidi ambao nitauambanisha hapa kudhihilisha kwamba kampuni ya vodacom tanzania inawaibia muda wa hewani wa wateja bila hata mteja kutumia simu kwa huduma yeyote ile. Kabla sijaelezea kwanza niweke wazi...
  2. M

    Shy-Rose Bhanji sema ukweli wa kilichofanya ukatwe au kaa kimya

    Habari wanajf;Tangu mgombea ubunge wa bunge la jumuia ya afrika mashariki (EALA) Shy-Rose Bhanji aenguliwa na vikao rasmi vya CCM kumekuwa na maneno yenye lengo la upotoshaji toka kwake mwenyewe. Nayaita ni maneno ya upotoshaji kwa sababu yeye binafsi anajua sababu hasa iliyofanya jina lake...
  3. M

    Taarifa ya utekelezaji wa agizo la kukata umeme kwa wadaiwa sugu

    Habari wadau wa jukwaa hili adhimu; TANESCO yaanza operesheni ya kuwakatia umeme wadaiwa sugu zikiwemo taasisi za serikali. Shirika la umeme nchini TANESCO limeanza operesheni ya kuwakatia umeme wadaiwa sugu zikiwemo taasisi za serikali ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Magufuli alilotoa...
Back
Top Bottom