Search results

  1. Roman Empire

    Mtandao wa tigo umepotea hewani kuna tatizo gani?

    Wakuu, Naona Tigo aipo hewani simu inaniandikia emergency na jirani zangu vivyo hivyo kuna tatizo GANI ninatumia huduma ya simu bank kwenye line ya tigo, Tigo pesa ninamzigo wa kueleweka. Wasije kuwa ma hacker wanafanya yao, msaada please watu wengi hawapatikani hewani nikitumia mtandao...
  2. Roman Empire

    Kero kwenye huduma ya Tigo Pesa

    Kuanzia alasiri nimekuwa najaribu kutuma pesa kupitia huduma YA tigo pesa inagoma, hakuna maelezo YA maana zaidi YA kusema niwasiliane na huduma kwa wateja ambayo nayenyewe haipatikani.... Tigo badilikeno kama mmeshindwa fungeni ofisi zenu
  3. Roman Empire

    PUNYETO inamaliza nguvu kazi ya Taifa.

    Habari za kutwa wanajamvi. Nianze kwenda kwenye mada husika, kwa kipindi cha mwezi mmoja kumekuwepo na wimbi/kampeni/shuhuda wa watu waliokuwa wameadhirika na punyeto na thread zao zimekuwa nyingi Sana katika jukwaa. Kwa upande wangu Naona ihii ni kampeni YA kuhamasisha vijana au watu wasiojua...
Back
Top Bottom