Search results

  1. D

    Wakali wa hizi kazi(bongo flava)

    Baada ya mdau mmoja kuanzisha Uzi akizungumzia wasanii was vichekesho wasiojua. Mimi nawaletea wasanii wangu wanaojua katika sector ya bongo flava Ninaposema wanaojua nazungumzia aspects nyingi za kimziki siyo kujua kuandika tu ngoma Kujua kuandika nyimbo siku zote siyo kipimo cha kua...
  2. D

    IQ(intelligence quotient)

    ...wanandugu nimekua nikisikia hilo neno IQ kwa muda sasa bila kufahamu kwa undani has a Pamoja na miaka yangu almost 28 sasa sijajua ni kipimo gani hasa kinatumika kupima IQ ya mtu Maana nimekua nikisikia ooo lampard ( mchezaji wa zamaji wa club ya Chelsea ana IQ ya 75) sijaelewa kipimo...
  3. D

    Barnaba na Christian Bella, hili tangazo la nyakanyaka bonus mmekula pesa kihalali

    Jaman unaweza kuonekana kituko mtu mzima kushabikia tangazo lakini hawa jamaa(Barnabas classic na Christian Bella wamelitendea haki hili tangazo la Nyaka Nyaka Bonus Hakika hawa washikaji wameimba mtu yoyote mwenye feeling na mziki mzuri atakua ameona uwezo wa hao miamba wawili
  4. D

    Hivi ninyi wapenzi wa Clouds radio mnaenjoy au mnakereka kama mimi?

    Wadau wapenzi wa Clouds radio, hivi adha ninayoipata na nyie mnaipata? Yaani naskiliza radio hapa muda wa nusu saa tunasikiliza matangazo tu. Yaani tangazo linachukua dakika tano, wakirudi bado wanafanya mention alafu baada ya mention ya tangazo wanapiga tangazo tena. Yaani inakua tangazo juu...
  5. D

    Vitu vyeupe kwenye uke, huwa inasababishwa na nini

    Kama kuna vitu vinaniondoa mchezoni wakati wa kugegedani ni hivi vitu vyeupe vinavyoonekana katika hatua za mwanzo wa show Haki mimi hua nashindwa kuendelea maana havihamashishi kabisa Sababu ya mimi kutowapenda wanawake weusi ni kwamba vinaonekana sana kwao bora wanawake weupi rangi...
  6. D

    Msaada: Namna ya kupambana na sumu ya nyoka ukiwa pekee yako sehemu ambayo hakuna huduma ya kwanza

    Jamani wadau, Mimi ni mmoja ya watu wanaoogopa sana nyoka na nimekuwa nikijiuliza hivi ikitokea mtu yuko porini mwenyewe na hakuna uwezekano wa kupata msaada wowote ule halafu akakutana na ajali ya kung'atwa na nyoka mwenye sumu kali nifanyeje ili sumu hio isinidhuru na nimekua nikisikia kuwa...
  7. D

    Hivi nini kilimsibu huyo Genious wa mziki wa bongo flava.

    Jamani ndugu zangu watanzania napenda kujua alipo huyo jamaa wa kuitwa MarLaw.kama kuna watu wenye uwezo wa hali ya juu waliowahi kutokea katika sector ya muziki wa kitanzania ni huyu jamaa What happened to this legend mwenye ukaribu na huyu jamaa mwambieni mafans wake tumemmis kinoma...
  8. D

    Ni MTU gani yuko overrated kuliko watu wote hapa Tanzania ??

    Kwa wasioelewa nini maana ya neno overrated ni kitendo cha MTU kupewa sifa au kupewa airtime kuliko kitu anachokitenda katika jamii Unaweza ukabase katika nyanja zote then utwambie huyo MTU ni nan Kwa mfano mimi kama shabiki wa Manchester kocha wetu mourinho ni overrated sana maana...
  9. D

    Best subtitle application

    ..wadau samahanini what is the best movie subtitle application for android
Back
Top Bottom