Hivi ninyi wapenzi wa Clouds radio mnaenjoy au mnakereka kama mimi?

don williama

Member
Dec 7, 2015
48
72
Wadau wapenzi wa Clouds radio, hivi adha ninayoipata na nyie mnaipata? Yaani naskiliza radio hapa muda wa nusu saa tunasikiliza matangazo tu.

Yaani tangazo linachukua dakika tano, wakirudi bado wanafanya mention alafu baada ya mention ya tangazo wanapiga tangazo tena.

Yaani inakua tangazo juu ya tangazo kudadeki bora mubadilize tu jina la radio mjiite MATANGAZO FM.

Hakuna hata radha yoyote ya kuwasikiliza.
 
Clouds FM ni moja ya vituo vya redio bogus hakuna mfano wake east, central and south africa nzima; 90% of the time ni commercials, 5% music interlude, 3% kubishana kifalafala na kujichekeshachekesha na kutaniana mwisho 2% other content!!!! A very lousy radio station indeed! Hivi TCRA hawana mechanism ya kutathmini ubora wa vituo kama hivi na kuvifuta if possible!
 
kwakweli hyo kampuni imenipitia kushoto now days ...nipo saloon muda huu vijana wameweka Chanel yao basiii daahh natamani kuwaambia watoe but najitahidi kujizuia ili tu kuheshimu matakwa yao ...lakini sionagi jipya ..
station ikianza project zao za malkia cjui kafnyaje kutwa nzima huwa wanaonyesha hiyo project tu "" kwakweli wanakera mnoo
 
Mi naona Redio ya clouds ni kundi LA wahuni tu.... Wanawatumia wasanii wetu kwa manufaa binafsi then wanawaacha solemba. Mwaka Jana mwishoni wamemtumia Saida carol, Mwaka huu wameanza na Aslay na Nandi, sasa hivi wako na Papi Kocha na Nguza Vikings.... Who's next?
 
Mtanzania ni binadamu mwenye vitimbi kuliko binadamu wote. Sasa kama unakereka kinachokulazimisha kuisikiliza ni nini? Hiki kituo mimi binafsi huwa sisikilizi kwa sababu huwa naona hakuna ninachojifunza sana sana nitaishia kukasirika, hivyo hunikuti hata siku moja nasikiliza. Hata ikitokea napanda public transport yenye matangazo ya hii radio natafuta kingine cha kufanya eg kusoma au kusikiliza vitu vya maana na headphone zangu kwenye simu.
 
Mi naona Redio ya clouds ni kundi LA wahuni tu.... Wanawatumia wasanii wetu kwa manufaa binafsi then wanawaacha solemba. Mwaka Jana mwishoni wamemtumia Saida carol, Mwaka huu wameanza na Aslay na Nandi, sasa hivi wako na Papi Kocha na Nguza Vikings.... Who's next?
Vitu vingi vya kijinga hapa Bongo hupata mashabiki wengi kwa sababu elimu (hence upeo wa kufikiri) yetu ni duni. Wewe angalia vitu vya maana kama vina mashabiki! Hivi mtu kama Wema Sepetu angekuwa nchi yenye watu wanaojielewa ni binadamu anayeweza kuwa na misukule ya followers 2 million kwenye social network? Kwa kipi cha maana anachoandika? Lakini ndio hivyo utakuta mapaka wanafunzi wa vyuo vikuu wako kwenye hayo makundi!
 
Clouds FM ni moja ya vituo vya redio bogus hakuna mfano wake east, central and south africa nzima; 90% of the time ni commercials, 5% music interlude, 3% kubishana kifalafala na kujichekeshachekesha na kutaniana mwisho 2% other content!!!! A very lousy radio station indeed! Hivi TCRA hawana mechanism ya kutathmini ubora wa vituo kama hivi na kuvifuta if possible!
Well said yaani wananikera kinoma hao jamaa..ujanja tu
 
kwakweli hyo kampuni imenipitia kushoto now days ...nipo saloon muda huu vijana wameweka Chanel yao basiii daahh natamani kuwaambia watoe but najitahidi kujizuia ili tu kuheshimu matakwa yao ...lakini sionagi jipya ..
station ikianza project zao za malkia cjui kafnyaje kutwa nzima huwa wanaonyesha hiyo project tu "" kwakweli wanakera mnoo
Yaani kila kitu wanafanya ujanja ujanja hao jamaa wako very selfish
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mi naona Redio ya clouds ni kundi LA wahuni tu.... Wanawatumia wasanii wetu kwa manufaa binafsi then wanawaacha solemba. Mwaka Jana mwishoni wamemtumia Saida carol, Mwaka huu wameanza na Aslay na Nandi, sasa hivi wako na Papi Kocha na Nguza Vikings.... Who's next?
Hao jamaa they are so selfish yaani kila kitu kwao fursa
Nyambafuuuu
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kweli radio ina matangazo mengi sana kiasi kwamba yanaboa wasikilizaji
Ila ndo biashara yenyewe
 
Wema Sepetu kwa bongo na level ya nchi...

Kim Kadashian kwa level ya Marekani.

Come again, Kim ana followers zaidi ya 100M.... Na hana cha zaidi anachifanya. Umaarufu aliupata baada ya kuachia sex tape yake
Kweli wewe zuzu. Unamfananisha Kim ambaye anacheza kimataifa na Wema? What a joke!
 
Yaan ukisikiliza kipindi kimojaa cha sa 4 ..wanaanza na mziki km dk 7 wanakuja matangazo dk 10 wanakuja kusalimia wao wasikiliza dk 2 wanasoma 3mzuka biko wa narud matangazo dk 30 yaan saa moja ujasikia chochote muhimu kuhusu kipindi wakirud biko na 3 mzuka
 
Back
Top Bottom