Search results

  1. bingoyefrance

    Ni shule zipi za binafsi za A-Level zenye tahasusi za HGE na HGK na zinafaulisha vizuri?

    Wakuu habari za mchana, Ninaomba kujua shule za private ambazo zinafaulisha vizuri lakini ada yake isizidi 1.2M coz nina mtoto wa kaka yangu alipata Div 3 ya 24 ana C- Hist, C- Geog, C- Kiswahili na mengine na hajachaguliwa chuo wala form five. Hivyo, kaka ameniomba nijaribu kutafuta shule...
  2. bingoyefrance

    Duka gani vinapatikana vifaa vya hospitalini kwa jiji la dar es salaam?

    Habarini wakuu, Nina mdogo wangu kachaguliwa diploma in Clinical medicine sasa tunahitaji tufahamu duka linalouza vifaa vilivyohorodheshwa kwa upande sijui hayo maduka yako wapi. Naomba msaada wenu
  3. bingoyefrance

    NAUZA LAPTOP TOSHIBA ipo Dar es salam

    Habarini wanajf Nauza laptop aina ya Toshiba rangi nyeusi yenye specification zifuatazo. Hard disk- 500GB Ram- 4GB Processor-2.5 price 320000 tsh Haina tatzo lolote ila nimeamua kuuza tu
  4. bingoyefrance

    Atafuta kazi ya kufundisha sekondari

    Habarini wanajukwaa! Mimi ni mwalimu nimemaliza chuo mwaka 2016 level ya degree kwa masomo ya (BIOLOGY & GEOGRAPHY) kwa A'level nilisoma CBG. mawasiliano yangu 0744999752 nipo Dar es Salaam
  5. bingoyefrance

    NATAFUTA SHULE YA KUFUNDISHA

    Mimi ni mwalimu wa Masomo ya Biology & Chemistry nimehitimu 2016 level ya degree natafuta shule ya kufundisha wadau my no 0744999752. Nipo Dar es Salaam
Back
Top Bottom