Atafuta kazi ya kufundisha sekondari

bingoyefrance

Member
Mar 4, 2017
86
73
Habarini wanajukwaa!
Mimi ni mwalimu nimemaliza chuo mwaka 2016 level ya degree kwa masomo ya (BIOLOGY & GEOGRAPHY) kwa A'level nilisoma CBG. mawasiliano yangu 0744999752 nipo Dar es Salaam
 
Una vyeti??

Kama unavyo vuta subira... Ngoja kwanza tumalize kuhakiki vyeti, wafanyakazi hewa na kujenga viwanda...
 
Subiri wadau watakutafuta huku wakikuuliza na G.P.A na consideration ya chuo ulichosoma kwasababu wengine wana-negativity na baadhi ya vyuo.
 
hiyo haiwezi kunipa shida so long as i qualified to join the higher level of education kwaio mtu akisema chochote sawa tu coz kapenda kufanya ivo
 
Usijali mkuu,utapata and i wish you all the best.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom