Search results

  1. kingfish

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Nyimbo za Hiba, Mv Mapenzi ziliimbwa na Bichuka ambaye bado yupo hai
  2. kingfish

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Hayo maneno aliimba Bichuka, ktk wimbo huu Dede ndiye alianza kuimba "Ulinisaliti kwa taraka rejea bila aibu ulininyang'a nguo mbele za watu Huku ukitoa kashfa nikajifunze kwa wazazi wangu "Bitchuka alimalizia kuimba mwishoni "nakuambia mimi sikutaki tena...
  3. kingfish

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Nyimbo Za Mv M Nyimbo za Mv Mapenzi na Editha ziliimbwa na Bichuka ambaye bado yupo hai, Dede aliimba huo wimbo wa Talaka rejea
  4. kingfish

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    NAOMBA USOME VIZURI HII THREAD
  5. kingfish

    Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    Jana pale s'wanga magufuri alisema ktk kampeni atatumia usafiri wa magari badala ya helkopta ili kuona changamoto za wananchi.je,na huyu ni msanii?
  6. kingfish

    Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    Na huyu mgombea mwenza ni msanii,alitembelea wagonjwa huko same jana.
  7. kingfish

    Unamkumbuka Hemed Maneti Ulaya"chiriku"?

    RIP Hemed Maneti,wimbo wake wa "magaidi wa Msumbiji" ulinikosha kwelikweli kuanzia upigaji wa wimbo na ujumbe uliokuwepo ktk wimbo huo.
  8. kingfish

    Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na timu yake wawasili Kaliua, ahutubia Maelfu ya wananchi Urambo, Tabora.

    Naona shati alilovaa nape kaiga mshono wa gwanda kasoro rangi.
  9. kingfish

    Huyu ndio kingfish mwenyewe!

    nilisahau kuweka picha,pitia tena post yangu
  10. kingfish

    Huyu ndio kingfish mwenyewe!

    Ndio mimi jamani nikiperuzi jamiiforums.
  11. kingfish

    What's your Japanese name?

    metojiluariri
  12. kingfish

    Hili gari vipi?

    Litamudu barabara za tz?
  13. kingfish

    Ipe maneno picha yangu hii

    Hapo mbwa watumie busara.
  14. kingfish

    Mjumbe wa bunge la katiba akifanya maandalizi

    Akifanya maandalizi ya kikao
  15. kingfish

    Huyu jamaa anaitwa nani?

    Ni uday saddam hussein wa bongo.
  16. kingfish

    Nchi yetu ya Tanganyika ipo wapi?

    KUNA JAMAA KATIKA FACEBOOK KAANDIKA HIVI; Mzanzibar mmoja aliniuliza kuwa nchi yenu iko wapi , coz nchi yetu ni zanzibar na nchi ya Tanzania ni ya wote. nilibanwa na haja ghafla nikakimbia. JK atoe majibu asituzingue.
  17. kingfish

    Hapa ndio mwisho wa uzee

    Nasikia wazee wa chalinze waliandamana kupinga msemo huu wakipendekeza kuwa uzee mwisho mikumi.
  18. kingfish

    Naomba ufafanuzi wa istilahi hizi

    Habari za jumapili wana jf,naomba kujua maana ya maneno haya yanayotumika sana katika medani za kisiasa.maneno hayo ni kura za rambirambi,kura za kiitifaki na kura za maruhani​.nawasilisha.
  19. kingfish

    ujumbe wa leo

    Naomba utafakari
Back
Top Bottom