Search results

  1. makwimoge

    Godbless Lema na Salum Mwalimu kuhutubia mkutano wa hadhara Nzega uwanja wa Packing

    Leo Jimapili kutakuwa na mkutano wa hadhara wa CHADEMA utakaohutubiwa na mbunge wa Arusha mjini Godbles lema akiwa na Salum Mwalimu.Mojawapo ya ajenda za leo ni kuwashukuru wananchi kwa kuchagua UKAWA katika uchaguzi wa serikari za mitaa na kutoa pole kwa kifo cha Mwanachadema aliyepigwa risasi...
  2. makwimoge

    USAFIRI NZEGA - TABORA BALAA TUPU (Tsh 12,000 - 15,000)

    Sijua mamlaka zinazohusika zimelala usingizi gani yaani maTrafick na EWURA.umbali wa hapa Nzega-Tabora ni KM 116 nauli ni kuanzia Tsh 12,000 mpaka 15,000 hailingani kabisa na hali halisi. wakati umbali wa Nzega Mwanza ni KM 246 na nauli ni Tsh 8000 tu. Serikari hii dhaifu haifai kuachiwa...
  3. makwimoge

    Elections 2010 Matokeo ya Igunga kuwa tayari kabla ya Saa 6 Usiku

    Matokeo ndani ya saa 24 Kwa upande wake, NEC imesema itafanya kila linalowezekana kukata mzizi wa fitina kwa kumtangaza mshindi usiku wa kuamkia Jumatatu, Oktoba 3, mwaka huu.Profesa Chaliga alisema hatua hiyo inalenga kuepusha vurugu au kuwapo kwa vitendo vya uvunjifu wa amani ambavyo...
  4. makwimoge

    Wabunge wa CCM mzigo usiobebeka (e.g Hamis Kigwangalla)

    Niko mbele ya Luninga, namsikia Ndugu Tundulisu akichangia juu ya misamaha ya kodi kwa wawekezaji,nikamuelewa vizuri sana juu ya hoja zake.Akasimama mbunge wangu Ndugu H.A Kigwangala(Said Bagaire) akaanza kuwatetea wawakezaji na kuunga mkono hoja kwamba wawekezaji eti wanaleta ujuzi. Ikumbukwe...
Back
Top Bottom