Search results

  1. kitulano

    Wanafunzi kumi bora kitaifa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2019

    Hahhaha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kitulano

    Wanafunzi kumi bora kitaifa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2019

    Hahhaha hahaaaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kitulano

    Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

    Duuu kumbe nawe ni dume nilikuwa najipanga nikusaundishe!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kitulano

    Karibia mtaa mzima Sinza A tumeibiwa

    We pung'o wamesema wamekata madirisha
  5. kitulano

    Kero ya maji Mwanza imekuwa kawaida sasa

    Kwami mbunge wenu ni wa chama gani,maana majimbo yote yaliyochini ya ccm hakuna taabu ya maji
  6. kitulano

    Kutokana na mauaji yanayoendelea; Nyegezi sio salama

    Tunatekeleza ilani"mtalimia meno"
  7. kitulano

    Watumishi wa Serikali wapoteza ajira baada ya kuajiriwa 'Full time' sekta binafsi

    Hairuhusiwi muw na waajiri wawili lasivyo uchague mmoja
  8. kitulano

    DAR: Mbowe, Mnyika na viongozi wengine wa CHADEMA waachiwa

    Yaani ninaamini angekuwa amekufa mwanao sidhani kama ungeleta dhihaka ya namna hiyo !
  9. kitulano

    Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. kitulano

    Siamini kama Al-badil inaweza kufanya mambo

    Hiyo ndo al badri ?, mbona wapalestina wanakufa sana sasa !?
  11. kitulano

    Watanzania tujiulize, ile risasi iliompiga Aquilina ilimlenga nani haswa??

    Umenigusa sana,ukute binti wawatu akijisemeaga " sitaki mambo ya siasa mimi nimetumwa kusoma niikomboe familia yangu maskini"so sad siasa za awamu hii Mungu pekee ndo anajua
  12. kitulano

    Mbunge Kanyasu alivyokimbiwa na wananchi Geita vijijini

    Hivi hilo ndo jimbo la msukuma !?
  13. kitulano

    Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Si ndo athari ya polisi wetu kukosa elimu
  14. kitulano

    Maoni ya watu maarufu mbalimbali kuhusu kifo cha mwanafunzi wa NIT katika maandamano ya CHADEMA

    Huyo aliyeua kesho utasikia anapandishwa cheo kwa amri kutoka magogoni.Maaskofu huyu mtu asikanyage kanisani ananajisi kanisa
  15. kitulano

    Wasingejiuzulu Mtulia na Mollel pia Tambwe na Akwilina wadingekufa

    Sasa kama ccm tunauhakika wa ushindi tunaweka uchaguzi kwa faida ya nani si bora wateue tu huyo mbunge pesa zikajenge barabara na zahanati SHITHOLE COUNTRY
  16. kitulano

    Wasingejiuzulu Mtulia na Mollel pia Tambwe na Akwilina wadingekufa

    Umetia siasa hadi kwenye vifo vya watu,ipo siku nawe mwanao atapigwa risasi tutakuwa tunaleta masikhara hivihivi
Back
Top Bottom