Search results

  1. M

    Car4Sale Noah Old Model inauzwa

    Wakuu, Nina gari yangu hii naiuza bei poa kabisa bado mpya ni Noah SR 40..! Bei Milion 11 na nusu tu.
  2. M

    Afande Sele V/S Mrisho Mpoto Nani yuko sahihi?

    Kama mmefatilia sana akaunti za Instagram za Afande Sele baada ya hukumu ya Lulu kutoka ni mtu ambaye dizain anamlaumu Marehemu ‘Kanumba’ kuzama kwny dimbwi la mapenzi na binti mdogo ‘Lulu’ ambaye anasema kwa kupindi kile alikua mdogo sana. Upande wa Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ dizain kama kamuwakia...
  3. M

    Tetesi: RC Makonda awagomea Clouds leo

    Nasikia leo team ya Clouds FM kama ilivyo kawaida yao ya kwenda ofisi za Wakuu wa Mikoa kukaribisha Msimu wao wa Tigo Fiesta so baada ya kufika kwa Makonda wakakuta waandishi wengine wanasubiri Press yake ambayo aliita kuwafahamisha uwepo wa Meli kubwa inayotegemea kuja siku zijazo kwa ajili ya...
Back
Top Bottom