Search results

  1. sir mweli

    RC Mrisho Gambo asema makanisa ya Kakobe yachunguzwe, isije ikawa ni wakala wa Shetani!

    Daah shida sana kuwa kibaraka wa shetani.....yaan unajua kabisa shetani ni mwovu ila inabidi umsifie tu....tena ufanye jitihada zote angalau aonekane ni malaika......cha ajabu ukweli unabaki pale pale kuwa shetani ni shetani tu........hata ntumie nguvu kiasi gani bado yeye ni shetani tu...
  2. sir mweli

    Mbunge wa upinzani kutoa zawadi kwa wagonjwa ni kosa?

    Hawaruhusiwi baba kasema
  3. sir mweli

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Asa kama baba kilaza unategemea watoto watakuwaje
  4. sir mweli

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Huyu msengerema nini....mmeshindwa kufata katiba sasa mnaamia kwenye Biblia.....Biblia si gazeti unajisomea somea tu.....si kila mamlaka ni ya kutii.....hata shetani ana mamlaka je naye tumtii.......aache upuuzi huyu bwana.
  5. sir mweli

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida apata ajali. Hali yake si Nzuri, yupo Kiomboi Hospital

    Huyu Israeli wa siku hizi nayeye kaamia digitally... ..eti skukuu na yeye anapumzika
  6. sir mweli

    ITV kuweni makini, kutoa habari za upande mmoja kutawapotezea heshima na hadhi yenu

    Hawa washakuwa TBC....ndomana watu kibao hawaiangalii tena....bora uangalie magic bongo
  7. sir mweli

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Nchi imevamiwa .....wenye akili ndo wanaona na kukemea......wapumbavu wanashangilia
  8. sir mweli

    Natafuta operator wa crane

    Ni ajira ya moja kwa moja au
  9. sir mweli

    Disemba ndo hiyo inakwisha, sioni dalili ya Bombardier kutua nchini kama alivyoahidi Magufuli

    Ngoja kwanza nipo ziarani nazindua matawi ya benk....nikirudi ofisini ntashughulikia mambo ya bom badia.....fanyeni kazi wapiga dili nyie....
  10. sir mweli

    Je, USD 300 milioni za makinikia zimeshalipwa?

    Nani alipe.....mtaichora chini hivyo hivyo paka mzeeke
  11. sir mweli

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Kwanza jifunze lafudhi, Jina lako zuri alafu unaliharibu mwenyewe... Latifa ...ukiliita tu unaskia raha....sasa Ratifa ndo nn...jifunze kidogo kidogo kutumia R na L sawa dadangu...mfano hatuna neno Taraka tumia neno Talaka...yaan ukiweza hivyo hata huyo mpenzio ataachana na michepuko yake...
  12. sir mweli

    Mke: Is an Asset? Life Partner? Homemade Love/sex machine?

    One of assets like house, car etc
  13. sir mweli

    Ajira 13000 za walimu zimeishia wapi?

    Serikali imeshasema wasio na ajira wamepungua........kwaiyo hizo ajira zikitolewa nan at a apply. Au unataka itumie gharama kutangaza ajira alafu watu wasitokee.....bora hizo hela tuendelee kufanyia manunuzi ya wanaunga Mkono juhudi za mkuu...
  14. sir mweli

    IGP Sirro: Malalamiko yatolewayo na viongozi wa upinzani dhidi ya Polisi katika uchaguzi mdogo si ya kweli

    Hata lisu hakupigwa risasi,, Yale ni mjipu yake tu yametumbuka...maana sijapokea barua ofisini kwangu ya malalamiko kama kapigwa risasi...
  15. sir mweli

    Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    Hawa GNLD. Staki hata kuwasikia, walishanilia elf 20 yangu....walikuwa wanataka lak na kumi kijiunga....wakatumotivate pale blue Pearl wee, wakaambulia elf ishirini yangu..
  16. sir mweli

    Takwimu NBS: Tatizo la ukosefu wa ajira lapungua mwaka hadi mwaka

    Hivi chili Chaplin na Mr.bean Nani mkali kwa vituko.....Au majuto, senga na pembe Nani anakimbiza....maana naona wasanii wameongezeka hadi upara bonde na yeye anaigiza vituko.... Hatarii
  17. sir mweli

    Dodoma: Rais Magufuli aagiza kuchunguzwa kwa Airtel kama ni mali ya TTCL! Wapotoshaji wa Takwimu wachukuliwe hatua kali

    Kazi kweli kweli......Nataka kuweka jiwe la msingi kwenye mgahawa wangu natarajia kuufungua....
  18. sir mweli

    Mangula: Vyama vya upinzani vimejikita katika kukosoa na CCM imejikita kwenye maendeleo!

    CCM imeleta maendeleo gani... Au wanaongea awamu hii imeleta maendeleo hawaishi hapa nchini
  19. sir mweli

    Tanzania ya viwanda ni lini itafufufua kiwanda cha general tyre?

    Kuna viwanda vya kubeti ndo vinajengwa kwa wingi.....pamoja na viwanda vya kununua wabunge na madiwani..
Back
Top Bottom