Search results

  1. Smart boy Shewedy

    Kipanya

    Kipanya
  2. Smart boy Shewedy

    NAOMBENI MSAADA WAJUZI...

    Ninatatizo la kujihisi mwilini haswa kwenye mbavu,miguuni na kichwani kuna vitu vinatembea mwilini haswa mida ya usiku. Msaada wenu wanajamvi... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Smart boy Shewedy

    TANZANIA YA VIWANDA

  4. Smart boy Shewedy

    OOOOOOIIIII...!!!

    Jamani wakina dada mbona mna tutesa hivyo...?
  5. Smart boy Shewedy

    NI DALILI YA UGONJWA GANI HUU....??

    Wakuu wana JF. Hivi pindi ifikapo mida ya usiku huwa kuna kitu kina chezacheza/kutekenya sehemu ya haja kubwa pamoja na kuwashwa kwenye makalio iwe Asubuhi, mchana hadi usiku. Ni dalili ya nini/ama ugonjwa gani huu.......?
  6. Smart boy Shewedy

    Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam. Nakuja hapa kwa mara ya kwanza, Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe wapenzi kwa ajili ya kuja kuona. Nipo serious sana ila ningependa awe Muislamu na awe...
Back
Top Bottom