Search results

  1. mwandagoo

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Pole sana ndugu mungu atakusaidia ktk hili Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
  2. mwandagoo

    Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani

    Hongera askari kwa kufanya kazi yako vizuri kama inavyotakiwa
  3. mwandagoo

    Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Naunga hoja kwa herufi kubwa hawa mabosi wanakera watu mitani sana
  4. mwandagoo

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Huyo Askari ninampa tano japo alipiga risasi juu hawa viongozi wanamna hii wanatishia watumishi na RAIA wa kawaida hongera askari upandishwe na CHEO hawa watu wanatuboa sana
  5. mwandagoo

    Magombana anavowanyanyasa wanafunzi

    Umbea wa nini jenga hoja uongozi wa chuo utawaelewa tu!
  6. mwandagoo

    Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Tatizo vyama wa upinzani vimehama kwenye reli sio LIPUMBA TU
  7. mwandagoo

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Big up mh. Magu
  8. mwandagoo

    Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

    Acha sheria ichukue nafasi yake
  9. mwandagoo

    Polisi mkamateni Abdul Kambaya asaidie upelelezi

    Its politics drama mnawaraumu buree police, viongozi wa CUF wanaweza wa kamaliza huu mgogoro so nguvu mnayopeleka kwa police pelekeni kwa viongozi wa CUF yaani maalim na lipumba
  10. mwandagoo

    Je, huu ni uungwana Polisi kupiga raia kikatili hivi?

    tusiraimu tu bali liwe somo kwetu, police ni binadamu kama sisi nao wanaumia so lugha chafu dhidi yao kichapo hakikwepeki,
  11. mwandagoo

    Tundu Lissu: Nape si shujaa, amevuna alichokipanda!

    Tundu lissu big up kwani wewe nimsema ukweli
  12. mwandagoo

    Ubunge Afrika Mashariki: Mgogoro Mzito ndani ya CHADEMA waibuka

    Hivi vyama vya bongo vinafanana kasolo majina
  13. mwandagoo

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Watumishi namba tutaisoma maana watetezi, wasomi na wanasiasa wote wapo kwenye mambo ya udaku maswala ya msingi wameyaacha, hii ndio Tanzania kila MTU anaubinafsi
  14. mwandagoo

    Chuki ya UKAWA kwa Makonda ni kwa utendaji kazi wake

    Ukawa lazima wamuombee njaa adui yao, Makonda anafanya kazi nzuri,
  15. mwandagoo

    Joseph Kasheku (Musukuma): Kitambulisho cha askari yeyote ni bastola

    Hapo msukuma ndipo nakuheshimu maana umekuwa mtu wa kureason, big up bro
  16. mwandagoo

    Mwakyembe na Nape wakutana uwanja wa taifa , Nape ashangiliwa

    Nashangaa watu kutokwa na povuuuu kubwa wakati MAISHA ndio hayo big up nape and mwakyembe timu uchonganishi sijui mtasema nn
  17. mwandagoo

    Ni kwanini Rais Magufuli kila akihutubia anapenda kutukemea na kutoa amri na vitisho?

    JPM yupo sahihi kabisa, ukatae usikatae habari ndio hiyo
  18. mwandagoo

    Kitila Mkumbo: Kwa staili ya uongozi wa rais Magufuli tusingetarajia Makonda hadi leo awe madarakani

    Wanaendana kiutendaji hasa kupigania maslahi ya nchi
Back
Top Bottom