Search results

  1. Tata Maestro

    Nawasikitikia wanao maliza form 4 miaka hii, yaani ni taabu tu

    Nawasikitikia wanao maliza form 4 miaka hii, yaani ni taabu tu. Kwanza hizo fomu ambazo huwa wanawapa wachugue shule za kidato cha 5 za nini? Wanawapa watoto fomu za kuchagua michepuo na shule au vyuo ambavyo wanataka waende, unaweka angalau mwanafunzi achague shule 4. Halafu wewe...
  2. Tata Maestro

    Ubabaishaji wa A+ wa bodi ya mikopo

    Wadau Nimeomba salio la deni ninalodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nilichopewa sio salio ni mkanganyiko wa kufadhaisha sana. Kwanza wamedai hesabu zao ni tafauti na hazina. Kwenye salary slip yangu inaonyesha nadaiwa 1,252,530. Ila wao wamenipa salio la zaidi ya milioni 3. Swali ni...
  3. Tata Maestro

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Wasukuma ni moja kati ya makabila machache ambayo bado yana ukabila. Yaani msukuma akiona msukuma mwenzake ana cheo anajiona kama yeye hata kama mwenye cheo uwezo wake wa kiutendaji ni mdogo sana. Ukitaka kujua wasukuma bado wana ukabila tembelea wilaya za wasukuma tu kama Misungwi na Kwimba ndo...
  4. Tata Maestro

    Je, Mhe. Zitto Akamatwe na Kushtakiwa Kwa Kuidhalilisha Taasisi ya Urais Kwa Kudai Fedha za Leo Sio Gawio ni Maduhuli?

    Kweli wee msukuma. Ha Ha Ha Ha "Eti the boss is always right" Ha Ha Ha Ha Ha, Hii umeitoa wapi? Wasukuma hamtakuja kupewa urais tena maana inaonekana muna akili za hovyo kabisa. Ha Ha Ha Ha
  5. Tata Maestro

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Waraka huu uko very deep! Na naupa A+ "Kama maendeleo hayana chama kwanini mtu ajiuzuru chama fulani, eti kwenda kuleta maendeleo katika chama kingine?" Wamesema udhalilishaji kauli njema kwasababu ni kauli ya mtukufu. Ila CCM kwa ubovu wao na kushindwa kwao kuleta maendeleo, wame prove...
  6. Tata Maestro

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Uko very deep! Nimeusoma sijaona mapungufu. Naupa A+ Kama maendeleo hayana chama kwanini mtu ajuzuru chama fulani, eti kwenda kuleta maendeleo cha kingine? Udhalilishaji wa kauli ya mtukufu. Wemesema njema kwasababu ni ya mtukufu. Ila ni kauli mbovu. Maana CCM imesha prove 100% haiwezi leta...
  7. Tata Maestro

    Ushauri kwa Watanzania: Tumfanye rais Dr. Magufuli atawale milele. Wahubiri demokrasia wao hawana demokrasia.

    Kwa hakili yako tupo pazuri ua ndo tuko mshimoni? Huna hakili kabisa
  8. Tata Maestro

    Ushauri kwa Watanzania: Tumfanye rais Dr. Magufuli atawale milele. Wahubiri demokrasia wao hawana demokrasia.

    KAMA TUNA MRUDISHA JAKAYA KIKWETE, HAPO SAWA LAKINI SIYO WA SASA. YAANI ANA MIAKA 2 TU UTAFIKIRI AMEKAA MIAKA 10 AMECHOKWA HAIJAWAHI KUTOKEA NA MIOYO YA WATZ WENGI HAINA FURAHA TENA NA NCHI YAO. KAMA KUNA MTANZANIA AMBAYE SIYO MKUU WA MKOA, MKUU WA WILAYA AU MKRUGENZI BADO ANAJIVUNIA UTANZANIA...
  9. Tata Maestro

    Mwandishi wa habari za michezo wa Bongo " Abidal asema Messi Alinibagua?"

    Wadau, Nimesekiliza watanzania tuongee magazeti ya radio free afrika leo hii, nikasikia habari ya kile alichosema Eric Abidal wakati amefanyiwa operation ya kansa ya ini wakati akicheza Barcelona nikasikitika sana. Ukisoma habari hii kwenye magazeti ya Spain kama Marca, Sport English na Mundo...
  10. Tata Maestro

    Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

    Huyu Evarist Chahali kumbe hana hakili, ameandika upumbavu. Uenyekiti wa mtu sisi unatuhusu nini? cha maana ni utumishi wake, swala la kungalia ana ufanisi? Ndiyo! kama ni ndiyo kwanini atoke? Simply Chahali hana hakili. Angekuwa mwenye busara angeongelea ukosefu wa ajira wa sasa, umasikini...
  11. Tata Maestro

    Tetesi: Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari kesho kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

    Huyu mzee kariharibia sana siku leo pamoja kuwa sijawahi kumuunga mkono ila nilikuwa namuona kama labda anaweza kuwa mtetezi wetu kumbe sivyo. Na kauli ya kuumiza zaidi leo ni " Eti anafanya vizuri tumuunge mkono". Hata kama wewe siyo mtafiti utaona direct kuwa Magufuli hafanyi vizuri.
  12. Tata Maestro

    Ivi kitu gani kinakuwa kikwazo kwa website ya necta haifunguki zaidi ya saa 30 kwenye 4g

    Mimi sijayaona matokeo toka ya tangazwe, mwanzoni nilidhani mtandao wangu uko duni lakini baada ya kuwa najaribu website zingine za TZ zinafunguka fasta ndo nikadhani kuna kitu kingine ambacho sikijui, kama ni hivyo NECTA ni wabovu sana leo 2018 unafungua website ina respond kama 2005
  13. Tata Maestro

    Ivi kitu gani kinakuwa kikwazo kwa website ya necta haifunguki zaidi ya saa 30 kwenye 4g

    Wadau Kitu gani kinakuwa kikwazo kwa website ya NECTA inagoma kufunguka zaidi ya saa 30 toka matokeo yatangazwe au ndo teknolojia duni ya wataalamu wetu. Inashangaza sana matokeo yanatangazwa lakini kila ukijaribu kwa kila aina ya link unayopewa unaletewa neno " This page can't be displayed".
  14. Tata Maestro

    Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    Unaleta hoja za marais wanaopenda kusifiwa au kujisifu, na wasaidizi wao wanaobabaishwa na vitu vidogo sana kama issue ya Kakobe. Wanajipamba sana lakini mtaani kuna impacts ambazo ni negative na maisha ni magumu kuliko vipindi vyote nimeshuhudia ambavyo mimi nilikuwa mtu mzima yaani kipindi cha...
  15. Tata Maestro

    Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    YAWEZEKANA NIKWELI. ILA MIMI NAMUENZI JK KIKWETE NDO RAIS WANGU BORA WA MUDA WOTE SABABU KUU: 1. ALINIAJILI TU BAADA YA KUMALIZA CHUO 2. ALIKUWA ANIBADILISHIA MSHAHARA WANGU KILA BAADA YA MWEZI WA SABA. NA KAMA JK ANGEENDELEA KUWA MADARAKANI LEO 2018 TAKE HOME YANGU INGEKUWA OVER 1.5M #KAMA...
  16. Tata Maestro

    MBOWE: Kama CCM inaona vyama vya upinzani ni hasara, wana wingi wa kutosha bungeni, wavifute

    NYIE MUNAOPEWA VIHELA VYA HONGO MUNAKUJA KUTETEA UJINGA UJINGA HAPA NA UPUMBAVU MUNAUDHI SANA. MAISHA NI MAGUMU BANA EBO!! SERIKALI YA AWAMU IPI WATUMISHI TUMEKAA ALMOST NA MSHAHALA ULE MIAKA 3 MFULULIZO, EBO! MUNAUDHI SANA MAISHA NI MAGUMU NA NI MAKALI SANA
  17. Tata Maestro

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    YAANI MAISHA NI MAGUMU IVI HARAFU WEE UNAANDIKA UPUMBAVU KAMA HUU UNAUDHI SANA BASI TU HATUNA LA KUKUFANYA. ILA UNA KERA SANA
Back
Top Bottom