Search results

  1. J

    Waueni viongozi wote wa CDM si wanawake na watoto!

    sasa imekuwa ni kama wamepanga,hakuna kiongozi yeyote wa CCM wala serikali anayeelekea kuumizwa na mauaji ya watoto wadogo wa madarasa huko arusha wala mwanamama mjamzito kule mtwara. wanachojali ni kuhakikisha utawala wao hautikiswi hata kama wanaoumia ni watoto na akinamama wasiokuwa na...
  2. J

    Please wanaofahamu wahusika ulipuaji bomu Arusha tutajie hapa JF maana matumaini yanaendelea kufifia

    Kulingana na taarifa za polisi kwamba ni Victor pekee aliyepelekwa mahakamani kuhusisna na mauaji na wala si kwa ugaidi, wa kulipua kanisa kwa bomu huko Arusha; shahuku ya wengi kwamba serikali sasa itnachukua hatua imeanza kufifia. Kwani ni vigumu kuamini kama wapelelezi waliridhika Victor...
  3. J

    TBC kukata matangazo ya bunge.: hivi hakuna uwezekano wa kushitakiwa mahakamani

    siyo siri tena kwamba TBC hawataki kutangaza habari za chadema na hata wabunge wa chama hicho. Mara nyingi wabunge wabunge hao wanapozungumza TBC hukata kwa kisingizio cha ubovu wa mawasiliano. Mfano leo kabla ya hotuba ya kambi ya upinzani TBC walikata matangazo hadi baada ya hotuba hiyo...
  4. J

    Kikwete: Chanzo cha udini Tanzania hakijulikani

    akiongea katika shrehe za mei mosi rais Kikwete amesema hakuna anayejua chanzo cha udini hapa nchini pengine alikuwa anawajibu wale wanaodai yeye ni kinara na mhasisi wa udini, na wenzake akina mwigulu ambao wanadai chadema ndiyo chanzo
  5. J

    Taratibu, CCM wameanza kuwachoka akina Mwigulu

    inavyoonekana CCM chini ya kinana anayejaribu kupambambana kwa hoja wameanza kuwachoka vingozi wenzao akina mwiguru, lusinde, juma nkamia, serukamba na wenzao wa viti maalum kwa vyovyote kilichowaponza wabunge hawa wa CCM ambao wanajigamba kwa kuwa vinara wa matusi ni hilo jukumu...
  6. J

    Lukuvi, wambie wana-CCM waache matusi

    ili kuonesha kwamba mnayoyasema mnayamaamisha mwambie spika amchukylie hatua serukamba nkamia mwigulu nchemba ikiwezekana pendekeza wasimamishwe vikao siku 5 ndipo mtakuwa na authority ya kukosoa wengine. nawapongeza waziri mkuu lukuvi na mwanasheria mkuu jana wakati lisu akitolewa nje...
  7. J

    Wabunge CCM acha udini, waumini wa Msigwa siyo nguruwe!

    Nimesikitika kwa yanayotoke bungeni huku naibu spika akichekelea; kwa kuruhusu wabunge wa CCM wawaite nguruwe, wakristo wanaongozwa na mchungaji Msigwa. Ni bahati mbaya kwamba viongozi wetu aina ya naibu spika na mawaziri waliokuwa wakichekelea, kutoona athali ya kuruhusu mbunge muislam...
  8. J

    Itakuwaje wasiokuwa Wakristo wala Waislam watakapoamua kudai haki zao

    kumekuwa na upotoshaji wa maksudi kwamba wasiokuwa waislam ni wakristo na wasiokiwa wakristo ni waslam! Hii si kweli wapo ambao si wakristo wala waislam na ni wengi tu kwa bahati mbaya si rahisi kuwatambua. ni vema basi wanaodai haki za wasllm wakatambua uwepo wa hao wasiyokuwa waislam lakini...
  9. J

    tatizo ni weledi wa polisi na waliowatuma

    inaelekea baada ya kuona awaiwezi kasi ya chadema uksukwa mpango wa kuwauwa mashabiki wa cdm. wakaambiwa polisi hakikisha mnavuruga mikutano na kwenye vurugu ua angalau mwananchi mmoja. anayebishi atafakari angalizo la napr nnauye kabla ya tukio la morogoro kwamba chadema wameandaa kuganya...
Back
Top Bottom