Search results

  1. Mtoro8

    Nimepungukiwa na damu mwilini

    Nahitaji kujua dawa ya kusaidia kuongeza damu nimepungukiwa na damu wakuu msaada tafadhal
  2. Mtoro8

    Man city Anaweza kuwa bingwa Epl

    kama city atafanikiwa kupita salama ktk miezi migumu ya EPL yaani November,December na January itakuwa ngumu sana kumzua asichukua kombe
  3. Mtoro8

    Msaada Wakuu wanaofahamu kuhusu simu za BestBuy

    Ni muda sasa simu yangu imezingua upande wa display nimejaribu kutafuta vifaa vyake nimekosa mafundi wanadai vifaa vyake hapa bongo hakuna naomba msaada kwa anayefahamu
  4. Mtoro8

    Ni Mgeni jf

    Pole na majukumu wakuu mimi nimgeni humu ndani ila sikuwa nimejitambulisha hapo mwanzo naomba tuwe pamoja.
Back
Top Bottom