Search results

  1. W

    Nani hasa anastahili kubeba BALLON D'OR

    Kombe la dunia ni michuano yenye hadhi kubwa sana kuliko michuano mingine yoyote, ndo maana mchezaji anaefanya vizuri zaidi kwenye michuano hiyo ni rahisi kupata tuzo ya mchezaji bora duniani. Ukirejea Fabio Cannavaro 2006, Ronald de Lima 2002, Zinedine Zidane 1998 na Romario 1994.Lakini timu...
  2. W

    Rajda Nainggolan atundika daluga timu ya taifa Ubelgiji baada ya kutemwa na kocha Roberto Martinez

    As a matter of fact i expected Belgium to dominate this world cup with two engines in midfield Mousa Dembele and Radja Naingollan. As a coach don't expect to control every player, others are demons and can't be controlled.All you have to do is to unleash them. Unleash the demon to brought hell...
  3. W

    Timu yenye washambuliaji wakali zaidi WC 2018

    Argentina ina washambuliaji wa kutisha sana, ila hawaendani. The best thing to do as an Argentina coach ni kupiga chini number 9 wote hapo juu. Unachezesha viungo watatu wa nguvu, pale mbele unaweka hawa jamaa watatu Messi, Dybala na Dimaria wanacheza zig zag moja hatari bila number 9. Lazima...
  4. W

    Final ya kesho haina maana,coz Chelsea wana mgomo.

    Oya vipi? Niwe wa kwanza kureply?
  5. W

    Hivi ukimuondoa Harry Kane, England hawana World Class Player mwingine, Wanaenda kutembea tu Russia

    Kweli we ndugu una bifu kali sana na Uingereza!!!!!! Liverpool amekwenda fainali ya UEFA with some stunning performances of British midfield trio ya Jordan Henderson, James Milner and Alex oxlade Chamberlain. Left back best performances of Fabien Delph after Benjamin Mendy suffered a serious...
  6. W

    Forbes yatangaza watu 10 wenye ushawishi zaidi Duniani

    Shadrack Nsajigwa sijamuona kwenye list
  7. W

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Single Maza tena ........ Sijui hii league itaisha lini? Kiuhalisia Single Maza hana shida yoyote, isipokua mtoto/watoto wake ndo wanaweza wakaleta shida kubwa sana Wewe mwanaume ukishindwa kuendana na matakwa ya mtoto wake, mtoto huyo ataanza kuleta figisu kwa Mama yake na Mama kama mlinzi...
  8. W

    Sex Time: Nachukua muda mrefu kutosheka

    Blood fu*ck Tudogo twingine bana
  9. W

    Utajinasua vipi ukikutana na mwanamke huyu?

    Akojoe nini sasa?
  10. W

    Heshima ya SERIE A yarejea

    Mkuu Barca ni timu iliyotimia kila idara, ni lazima tuwape pongezi Roma ambao hata mechi ya kwanza pale Nou Camp walicheza vizuri sana. Pia kuna kitu kimoja watu tunashindwa kukifaham, hakuna klabu Ulaya kwa sasa yenye viungo waliotimia zaidi ya Daniele de Rossi, Radja Naingolan na Kevin...
  11. W

    Movies 250 bora kwa wakati wote

    Mkuu hivyo ulivyotaja hapo juu ni mawe tu Vyuma hivi hapa; 1.Terminator 2:The Judgment Day 2.Saving Private Ryan 3.Mad Max Fury Road 4.Gladiator 5.The Lord of The Rings:The Return of The King
  12. W

    Mke malaya, nimfanyaje?

    Maisha yamebadilika sana Ndugu Kamwe usijaribu kushika simu ya mwanamke umpendae au mke wako. Kamwe kamwe usijaribu hicho kitu Utakayo yaona humo yanaweza kukuadhiri kisaikolojia kwa muda wote wa maisha yako Wanawake hawa wa kitanzania wa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito cha kuiga vitu...
  13. W

    Wanawake wa kiafrika bwana.

    Na mimi leo nimekua wa kwanza kureply Dadadadadekiiiiiiiiii!!!!!!!!
  14. W

    Tukubali tu Messi Ndiye Mchezaji Mahiri Kuwahi Tokea Hapa Duniani

    Umekosea sana Mkuu, Messi sio mchezaji wa kawaida. Messi ni Mnyama asiyejulikana aliyetokea Sayari isiyojulikana!!!!
  15. W

    EPL sucks

    Eti Epl sucks!!!!! Mimi ni shabiki mkubwa wa Juventus, but Spurs alipiga mpira mwingi sana. Hapo ndu hua linakuja suala la Bahati kwenye soka. Juve wamepita kwa ngekewa, Spurs alipaswa kushinda comfortably about three goals upwards.
  16. W

    Msaada wa mawazo: Mwanamke wangu simuelewi

    Ndugu,hiyo namba sita hiyo!!!!!!!!! Hiyo namba sitaaaaaaaaaaa Lalalalalalaaaaaaaaa
  17. W

    Ivi bekitatu wanani jamani?

    Tu beki tatu tuna utamu wa ajabu!!!!!!! Nilikatafuna kamoja asubuhi watu wamelala, Dushe ilivyoingia ndani ya Papuchi nilipata utamu wa hatari sana mpaka nikapiga kelele, mara paaap nikaskia mlango wa chumbani unafunguliwa, nikala mbio mpaka nje huku suruali naiburuza chini.
  18. W

    Makala: Usajili wa Coutinho ni taa ya kijani kwa nyota wengine wa EPL

    Asante sana Brother kwa upembuzi yakinifu Kuna sababu moja kubwa sana ambayo imejificha kuhusu lundo la wachezaji kupenda kuchezea ligi ya Hispania. Hali ya hewa. Uingereza inatawaliwa sana na hali ya mvua nyingi na baridi kali. Hii huwashinda sana wachezaji wa Amerika ya kusini na kutundanganya...
Back
Top Bottom