Search results

  1. M

    DOKEZO Mazao ya chakula yasiuzwe nje ya Nchi, hali ni mbaya sana. Serikali zuieni haraka

    Jitahidi kuwa na hela tu, njaa za siku hizi ni pesa tu hakuna kufa tena kwa njaa kama zamani kwa kukosa cha kununua
  2. M

    Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

    Halafu baadae mahakama inampata hana hatia, hizo fidia analipa nani
  3. M

    WHO: Soda, nyama na pipi vyanzo vikuu vya saratani

    Akili yako mbovu kwani hao WHO wamesema hivyo ndio vyanzo pekee?
  4. M

    CCM mlipanda chati na heshima kwa Hayati Magufuli sasa mnaenda kugawana mbao na Watanzania

    Magufuli 2015 alipata kura chache kuliko Mgombea yoyote wa CCM aliipa chati gani?
  5. M

    Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

    Vipi kwa sisi tulioko Wilayani ambako hakuna hospital za Private? Kwanini tupange foleni kimasikini?
  6. M

    Mwenyekiti wa Kijiji afungwa Miaka 20 Jela kwa kuharibu Miundombinu ya Gesi

    China kuharibu miundombinu ni adhabu ya kifo. Madhara yanayoweza kutokea ni makubwa sana kwa watu wa aina hiyo
  7. M

    Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

    Kwa mwendo huu wafungwa wataongezela sana . Kama wanafunzi 3000 wanapata mimba kila mwaka inamaana kuna Wafungwa wapya wakutosha
  8. M

    Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

    Ukiangalia list yako ni ya Wazee ambao ni frustrated maishani, hawana lolote la kujivunia na wana uchungu kwamba wenzao wanafanya makubwa
  9. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Tembea aone kuna watoto wako kwenye ofisi za RPC mikoani mpaka unashtuka
  10. M

    Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

    Kwani kufutwa kazi ni kitu cha ajabu? Wangapi wametolewa Bandarini kabla yake
  11. M

    Watanzania ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa

    Hivi ukiondokana na CCM utaweza kuishi. Unadhani utaishi kwa maisha hayo unayoishi sasa hivi kwa misheni town? Unadhani utauziwa vyakula kwa mafungu Unadhani utajenga kiholela kama sasa Unadhani Afya itakuwa nafuu kama sasa?
  12. M

    Who is Shivji mpaka asikosolewe?

    Na kwakuongezea tu Wahindi wamekuja hapa kutengeneza reli imekamilika mpaka imezeka, mpaka tunajenga SGR bado anataka kujiona anaweza kutusemea
  13. M

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Hakika Dar ilikuwa kijiji siku sio nyingi
  14. M

    Mwendokasi (BRT) msiishie kujenga barabara tu

    Kwani hujui walioingia ubia ni nani? Hujui ni Waarabu
  15. M

    Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

    Hiyo ndio shida, huwa hawatumbii ile kitu iliyomtoa kwenye uchuuzi ikamfanya kuwa juu. Hakuna anaesemaga hilö dili möja au hiyo kafara moja iliyombadilisha
  16. M

    Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

    Hutaona hata kwenye taarifa za udaku kwasababu kuchoma Biblia sio habari
  17. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hawa 750 walikuwa wanawafuata hawa 5. Kwahiyo 5 ni muhimu zaidi
Back
Top Bottom