Search results

  1. white hat

    Computer speed

    vipi hii HP ProBook 440 G1 Notebook PC, naweza kuupgrade kutoka Hdd to ssd
  2. white hat

    Mbwana Samatta na App ya SamaPay - Haya ni mapungufu niliyoyaona

    hii ni mpya, hata ukicheki hapo amefungua mwezi uliopita ile ya kwanza ilikuwa na followers 1mil +
  3. white hat

    Nimeunganishwa Internet ina Spidi lakini inagoma kuunganisha wifi

    Hizi mambo zinaenda kimya kimya sasa ukisema mtandao unaotumia ujue ndio trick imefungwa hivyo
  4. white hat

    Nimeunganishwa Internet ina Spidi lakini inagoma kuunganisha wifi

    Hauwezi kufanya tethering kwasababu unatumia VPN, ila kama simu yako ni rooted inawezekana nitakuelekeza
  5. white hat

    Kwa wale Gamers fanya haya ikiwa gemu lako linagoma kufunguka

    Tafuta android emulator kama nox player, memu au bluestack kisha utainstall game lolote kama kwny simu tu
  6. white hat

    Nataka kubadili betri ya simu ambalo ni non removable

    😂😂 unataka kuua simu ww, yaani hapo taxi unataka kufunga engine ya basi
  7. white hat

    Kwale Kenya: Auliwa baada ya kuhisiwa kuwa na Coronavirus

    Africa tunasafari ndefu kweli
  8. white hat

    Muigizaji nyota, muhusika katika filamu ya Queen of Katwe Nikita Pearl Waligwa ameaga dunia

    RIP so soon, alicheza vizuri kwenye filamu ya queen of Katwe
  9. white hat

    Game gani kali za magari za offline?

    Hii nimecheza ila kwenu demo mode tu vipi unaweza Kuwait na keys zake?
  10. white hat

    Msaada wa namna ya kuondoa indicator

    Ibonyeze mara mbili (double tap)
  11. white hat

    Msaada jinsi ya kurudisha mafaili kwenye flash

    https://answers.microsoft.com/en-us/windows/forum/windows_10-files/how-to-recover-chk-files-from-found000-folders/c94d2993-f31a-488a-a14b-ae96005daaee https://www.raymond.cc/blog/how-to-recover-chk-files-created-by-chkdsk-and-scandisk/
  12. white hat

    BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali - Crypto currency

    naona wanataka kuzuia mafuriko kwa mikono
  13. white hat

    WhatsApp na iPhone 4

    hiyo tumia kupiga na kupokea simu, Whatsapp haitopatika tena kwenye hicho kifaa, jaribu kutafuta iPhone 11 labda
Back
Top Bottom