Search results

  1. K

    Kwa akili kubwa aliyonayo John Pambalu upo uwezekano akasajiliwa kama wakina Nassary

    Acha wivu we mpumbavu ndo maana una Mafi anaherroof mbaryer
  2. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Yaani mtu anaestahili kuhukumiwa kunyongwa TUNAMWITA MHESHIMIWA
  3. K

    Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Y You don't you leave
  4. K

    Yemen watangaza Kufunga Mediterranean Sea kwa meli yeyote inayoelekea Israel

    Ni mwend Ni mwendo wa kuwatembezea DULLAR HEAD OPEN
  5. K

    Putin kuapishwa leo kuwa Rais kwa mara ya 5 na miaka 24 madarakani

    Kama Kuna jambo limewaudhi wa US na Wana EU hili limeshaingia kwenye hansard
  6. K

    Haya ndio majina matatu ya wanachama wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu jino kwa jino bandika bandua akimwaga mboga anamwaga ugali

    Mzee kata gogo umalize Kisha usome tena ulichoandika, kama wewe ni mjanja mjanja Kwa Lissu usijaribu utaumbuka unatakiwa kuwa competent ndo angalau utafika raundi ya pili vinginevyo wabunge woote wa ccm wakiwa upande mmoja Lissu peke atawafurumua kama siafu wanavyofurumuliwa na mhanga
  7. K

    Zitto Kabwe kugombea Urais wa Tanzania 2025, Jimbo la Ubunge Kigoma mjini anawaachia Vijana wa ACT Wazalendo

    Zito akagombee urais wa MWANDIGA atapita Kwa kishindo
  8. K

    Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Inamaana hamjui kama hilo nalo ni BUMUNDA jipya? Mtu kanene Hadi mate ataongea Nini? HAPA ccm mmeweka galasa, LISSU anajipigia tu atakavyo yaani ni mwendo wa kuwabinua tu na hakuna mwenye hoja mbele ya Lissu
  9. K

    Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Tazama HILI KOBE LA ZAMBARAU! Jingaaa Nini weye kwahiyo nyie mna hati miliki ya hoja za nchi hii? Upuuzi kama huu peleka MWANDIGA huko nyambafu.
  10. K

    Tundu Lissu ni mpotoshaji tangu zamani, akikuambia leo ni Jumapili jaribu pia kuangalia vizuri kalenda yako

    Ukitaka kuharibikiwa na ni kumkosoa Lissu, kwani yeye Hana porojo katiba ya jmt na Ile ya Zanzibar na miongozo pamoja na kanuni ndiyo dira yake ya kujibu maswali ndo maana watu kama akina nape, makamba, rizimoko, muchemba Madelu n.k hutosikia wakijibu chochote dhidi ya Lissu kwakuwa hawana Cha...
  11. K

    Askofu Bagonza, mbona Lissu anaropoka hutoi maoni yako au unamuogopa?

    Al Aliliyeanzisha huo msemo ni mzee Jenerali Ulimwengu "collective imbecilization" Yaani ubwimbwi wa kihalaiki au uzuzu wa nchi nzima
  12. K

    Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Yaani mwigulu huyuhuyu Madelu unamuomba abadili uchumi? Hivi unavijua vichwa vya kubadli uchumi hasa level ya taifa? Madelu huyu alitakiwa kuwa na cheo kwenye chama eg mwenyekiti wa MACHAWA lakini kazi ya kitaalam Madelu ni mwupeee kama pamba
  13. K

    Afande Sele awachana CHADEMA

    Mtu alisha piga cha arusha, cha njombe, cha uvinza, cha simiyu, cha milima ya uluguru, cha ruvuma yaani bangi za mikoa yoote nchi hii amevuta unategemea anaweza kuwa na busara?
  14. K

    Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Vyuo vya ulaya na US vilitishia dunia zamani lakini katika dunia ya leo ukienda Apollo hosp. Kule india wataalam wa moyo, upasuaji wa ubongo wabobez waliopo pale wengi wamesoma india, china, Thailand, Singapore n.k Mfano mwingi ni Iran unasoma pale hadi unatengeneza hypersonic missile hata...
  15. K

    Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

    Mleta mada ana hoja Mfano mataifa ya ulaya wasiozungumza kiingereza Mfano France, German, Italy, Spain, Belgium, scandinavia n.k. kiingereza ndiyo lugha muhimu Kwa lugha za kigeni wanafundishwa vizuri na wanakiongea kama kikwao utagundua wenzetu wapo strategic na hawaja temper na elimu sasa...
  16. K

    Israel wanaishi kwa mashaka kuogopa kwa kipigo toka Iran

    Unaumia ukiwa wapi we mpenzi wa kapwimbwiluka
  17. K

    Natafakari tu, Dr. Nchimbi atapenda kufanya kazi na Mbowe au Lissu kama Mwenyekiti wa Chadema!

    LISSU, MBOWE, MNYIKA, MSIGWA Hawa watu walimtesa sana magufuli Hadi Lissu kupigwa risasi Kuna babox mengi sana ya mikate kutoka BIOT aliyakataa tena Kwa kejeli
  18. K

    Viongozi wa Dini waliopewa Vibali vya kuagiza Sukari kuanikwa hadharani muda wowote kuanzia sasa

    Kama nawe ulipewa kibali lazima ULINYWE waulize waliompelekea Lissu taarifa subir kunyolewa
Back
Top Bottom