Ningeshangaa sana daktari mtanzania agundue dawa? Labda ya kienyeji, kwa technology gani tuliyonayo ya kuisolate vitamins au vitu vingine toka kwa mimea anayosema. Tunaweza kula matunda kimasiahara tu, haya mengine tuwaachie waliowekeza kwenye elimu, tech na utaalam. Uzuri wanatuuzia tunameza tu...
https://www.youtube.com/watch?v=WB6sqE5Z9AY
Mbona mwatuchanganya? Ibrahim au Fatema na hizo nutrients zinarekebiesha refractive errors? Hope ni km GNLD na wenzake kina ARGI+
Hakuna mtu anayeweza kuhack Instagram wala whatsup unless umempa credentials zako mwenyewe iwe kwa hiyari, trick au kwa nguvu. Acha kudanganywa, by the way ahsante kwa taarifa
Kibongobongo wazazi wanajua wakishakupeleka shule na kukulipia ndio washakumentor hivyo, baada ya kukua ukiwa kwenu mkuu! Na wewe ukienda shule ukadesa ukarudi home na makarai yako ujue huna tena chumba! Washachukua wadogo zako. Tukiacha unafiki mzazi gani anamentor mwanae mkuu? Mzazi anajua...
Utafikiri kuna hata jambo moja tu tunaweza kulifanya kwa ufanisi! Hatuna mchango wowote kwnye maendeleo ya dunia lakini mmidomo yetu kama chuchunge yani
Mkuu hoja kubwa hapa ni "kwa nini Marekani" sio kingine chochote, watu wanasahau America ni big brother, ni kama maji usipoyanywa utayaoga, usipoyaoga utayafulia nk nk. Hao wanaotajwa km Russia na wengine nao pia wanapata misaada ya US, hamna namna ya kukwepa hata apakwe mavi kiasi gani is there...
Sio timu ya taifa tu, watanzania wote tuna utapiamlo wa kudumu, tunaanza kuupata tangu utotoni kwa kuwa wazazi wetu pia walikua nao. Angalia sekta zote wapi kuna mahali tunafanya vizuri? Kuna watu hapa kwa unafiki tu wanasema Mbeya kuna mchele ukanunuliwe wakati hata kutosha tu wananchi...
Halafu tukiletewa msaada wa fortified rice tunasema nchi inachafulliwa, inachafuliwaje wakati ni chafu miaka na miaka, unawezaje kuchafua dumpster?. Kuna kitu gani tunafanya kutumia hata robo ya akili ya kibinadamu? Kila kitu sisi wa mwisho hamna cha kujivunia hata kimoja, hata kulisha familia...
Kimsingi inaondoa kabisa maana ya kwenda shule! Inamaanisha umeenda na kurudi na boksi tupu, elimu ilitakiwa ikubadilishe tofauti na ulivyokuwa kabla hujaondoka kwenu. Ukitoka nenda kapambane usirudi kwenu.
Ndege wa angani vifaranga vyao vikikua wanavunja kabisa kile kiota ili watoto hata...
Hakuna mzazi pia anayependa mwanae arudi nyumbani baada ya kuhitimu chuo kikuu kwa uwekezaji mkubwa aliohangaika kumsomesha, kurudi kuja kugombea ugali na wadogo zake. Mzazi wa enzi zetu ilikuwa kijana akienda chuo na chumba chake kinapangishwa au wanachukua wadogo zake. Mzazi anapenda baada ya...
Utapiamlo ni shida kubwa ya nchi wala sio Dom, tuna chronic malnutrition ndio maana tunafanana wote tu! Awe profesa au mtawala hana tofauti na mzee wangu kule mbwilike ambaye hajui hata kusoma hela. Hatuna kitu tunafanya vizuri iwe michezo across all fields hadi uchungaji na ulokole wetu ni...
Unahisi tunapungukiwa nini? Akili yetu inafikiria luxuries kwa watawala tu, magari ya 600m tutapataje tukinunulia maskini chakula? Ndege je? Tunataka ndege mpya za viongozi, wanaodumaa wanajitakia wasubiri tu Biden aguswe
Huku Marekani, mzazi anakata huduma kwa mtoto kuanzia miaka 18, ataendelea tu kumsaidia kama bado anasoma! Awe wa kike au wa kiume, hata km anaishi kwake lazima achangie rent au alipe rent nzima. So sio habari ya umaskini bali ni human nature japo uchumi wa Tz hauruhusu. Technically mtoto...
It's both ways kwa sbb ni psychological, kuna watu wanakula sn na wengine hawali kabisa kuelekea distribution line! Human beings reacts differently to stress based on personal stress threshold that's strongly related to makuzi na stress levels at younger age
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.