Search results

  1. Plot281

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Babati mjini

    Kiwanja namba 79 block uu" Eneo stand mpya maisaka katani. Ukubwa 40m kwa 30m =1200m squares Bei=milioni 2 unaweza tanguliza milioni 1 halafu inayobaki tutakubaliana namna ya kulipa. Ambaye yupo serious nifuate inbox fasta.
  2. Plot281

    Mechi ya Biashara united vs Coast Union

    Mtifuano huu wa Leo lazima mbabe ajulikane leo. Je coast ataendeleza record yake ya ushindi kama mzunguko wa kwanza ulivyokuwa au Biashara nae atalipa kisasi Nahakika itakuwa ni mechi nzuri sana tungoje dakika tisini. [emoji238][emoji238][emoji23][emoji238][emoji238][emoji238]
  3. Plot281

    Uendeshaji mbovu wa Alliance School jijini Mwanza

    Ubabe wa mmiliki wa shule hii ni wa kienyeji kabisa. Watoto wanaosoma boarding ambao hawajakamilisha ada wanafungiwa lockup ya shule hiyo ili wazazi wao wasionane na watoto wao siku za visiting day. Mmiliki wa shule hiyo mbele ya kikao cha wazazi anadiriki kusema hawezi toa uhamisho kwa...
Back
Top Bottom