Search results

  1. S

    Sheria-UDSM: WANAWAKE vipi?

    Niliassume hujasoma law kutokana na mazungumzo yako. Basi kama ulisoma law hongera zako kwa maana naamini una GPA ya 3.8 na zaidi. Na inawezekana pia umesoma UDSM. Nilichomaanisha ni kuwa sio lazima kuwa science yoyote ni ngumu kuliko law. Nakubali huwezi linganisa law na medicine, na ndio...
  2. S

    Sheria-UDSM: WANAWAKE vipi?

    Wewe unasema hayo kwa sababu hujasoma law. Tatizo sio kiingereza kwa sabbu hata kwawanafunzi wa kuleuingereza law ni sio rahisi. anya survy yako uniambie ni wapi duniani law ilishawaahi kuwa rahisi. Angalia hata wanafunzi wanaochaguliwa kusoma law tu utajua. Ni wale wenye alama za juu zaidi. I...
  3. S

    Sheria-UDSM: WANAWAKE vipi?

    Siku hizi hakuna kupokewa kama unavyosema kwa sababu utaratibu wa ajira umebadilika. Mtu unatakiwa kuomba kwani chuo hakiwezi kuajjiri kila aliyepata 3.8. Mf. Kulee arts wakipata 3.8 watu 80 wata"pokewa" wote? Hilo haliwezekani. Usisahau kamba miaka hiyo yenu waanafunzi mlikuwa wachache sana...
  4. S

    Sheria-UDSM: WANAWAKE vipi?

    Hakuna kitu kama hicho, acheni kuwadhalilisha wahadhiri wetu. Kigezo ccha GPA ya 3.8 kinaaplly kwa chuo kizima na sio law pekee. Toka sheria hiyo ya GPA kuwekwa, hakuna mwanamke aliyefika GPA hiyo ya 3.8 akaachwa, kwa pale kitivo sheria (kama alitaka). Kwa hiyo wanawake HAWAKATALIWI, bali...
  5. S

    Eti wameniozesha dada wa mchumba wangu!

    Weweeee! Umebadilisha story ya Yakobo na mjomba wake Laban kwenye Biblia ukajifanya ni yako. Plagiarism! Yeye Yakobo ndiye aliyeozwa Leah badala ya Rebecca kwa mtindo huu. Nakushauri na wewe "uwatumikie wakwe zako" miaka mingine 7 kama yeye ndipo wakuoze huyo mchumba uliyemtaka mwanzo. Then...
  6. S

    Hukumu kesi ya mnyika hii hapa

    Nakubaliana na wewe kabisa ndugu. Huyu jaji ana very poor writing skills. Kuandika judgment ni kama kuandika thesis, usipokuwa concise hutaeleweka. Bahati nzuri thesis kuna watu wengi unaweza kuwapa wakasoma au kuedit kabla hujatoa fnal draft. Sijui kama kwa judgments hilo linawezekana. Kwa...
  7. S

    Chinua achebe na vitabu vyake vitatu

    Tunashukuru. Marekebisho kidogo: neno sahihi ni shaghalabaghala, sio shagrabagra kama ulivyotumia wewe. Au nawe msamiati wa kiswahili umeenda mrama? hahhhaa. Ila nashukuru sana kwa hilo. Sikuwa najua kuwa hiyo sentensi imerudiwa kwenye vitabu vyote vitatu. Kama kweli wewe ni mpenzi wa fasihi...
  8. S

    Niko busy, msaada!

    Umeuliza "linatamkwaje", na sio lina maana gani. Matamshi yake ("pronunciation") kama utalitamka kwa kiswahili japo litabaki limeandikwa kwa kiingereza litakuwa "bizi". Ila: maana yake (translation) kwa kiswahili ni "kutingwa na shughuli". Kwa hiyo: I am busy=Nimetingwa na shughuli I am very...
  9. S

    Msaada wa Lugha ya Wenzetu English

    Na utamuuliza ili nini? Kwani huwezi kuhesabu ndugu zako ukajua? Ina maana wewe ni kilaza kiasi hicho hadi mama akuambie wewe ni mwanae wa ngapi? Swali hilo halina mantiki. Na limeshajibiwa sana hapa jf. scrap!
  10. S

    vipi kuhusu hili

    Hayati-hutumika kumtaja mtu aliyefariki kwa kukumbuka mambo mema/mazuri aliyofanya. Mathalan Hayati Julius Nyerere, hayati Abeid Karume etc. Marehemu-hutumika kumuombea mtu yeyote aliyefariki dunia, siku nyingi au hata siku chache zilizopita. Marehemu-kutokana na neno rehemu. Yaani unaomba...
  11. S

    waungwana msaada wa haraka

    washa = "itch" My skin is itching Kila la kheri
  12. S

    Polish Your English !!!!

    Ok Mr. Cut n Paste!
  13. S

    Wow!

    Hahaha. Mr Creative, Elewa hivi: (nitachanganya kiingereza na kiswahili) Neno "wow"! ni moja ya maneno yanayoitwa "exclamations au interjections" katika lugha ya kiingereza. Haya huitwa VIHISISHI kwa kiswahili. Maneno kama hayo hutumika kuonyesha hisia za mtumiaji anapokuwa kutokana na hali...
  14. S

    Naomba mwongozo wa maneno ya kiswahili sanifu

    Nakubaliana na wewe kabisa kuwa haya ni makosa, tena yanayoweza kuepukika. Lakini, kwa kuwa unaomba mwongozo wa kiwahili sanifu, basi hatuna budi kuanza na wewe. Sitazungumzia hali ya kuchanganya lugha 2 (kiingereza na kiswahili) kama ulivyofanya (ambayo pia sio usanifu), ila nitazungumzia...
  15. S

    Misamiati ya kisiasa

    Asante ndugu Ad Hoc. Langu ni dogo tu: Kusahihisha/kutoa maoni kuhusu matumizi yako ya neno "msamiati". Nijuavyo mimi: Msamiati kamwe sio neno moja mfano manifesto, akidi n.k. Msamiati ni JUMLA YA MANENO YANAYOUNDA LUGHA FULANI. Kwa kiingereza huitwa "Vocabulary". Kwa mfano Msamiati wa lugha ya...
  16. S

    LINITATIZALO TANGU ZAMA....yupo mwenye jibu mwanana?????

    Mimi pia litatizwa, dhimaye lishindwa jua Ramadhani ikabezwa, kila ilipowadia Utadhani wakimbizwa, jioni ikiwadia Ramadhani megundua, ni zaidi ya mfungo. Jioni kikaribia, wanawaza kufuturu Uji ni wa kuanzia, tumbo kuliweka huru Zafuata na bagia, na viazi vya Luguru Kumbe Ramadhani bwana, ni...
  17. S

    Air Condition Kwa Kiswahili sanifu ni Kil...

    Ndugu Gurta umeeleza vyema. Ni air conditioner, na sio "air condition". Ila wa-Tz si unawajua? akishakosea wa kwanza basi na vizazi vinavyokuja vinakosea-hasakiingereza. wewe ingia facebook utakutana na sentensi hizi: "I am afraiding", "I proud", etc. na wote hao wana shahada tena walizosoma kwa...
  18. S

    Nafunga ndoa natawakali

    Kwanza nikupe pongezi, bibi huyo kumpata Kwa wako huu utenzi, yaonyesha umekita Upunguze matembezi, kwani chema ushapata Ukishaifunga ndoa, zipuyo siache wazi! Sokomoko uziache, 'kishaingia ndoani Na ukware uuache, hata 'kiwa mkoani Bibie usimuache, hasa kama muumini Ukishaifunga ndoa, bibiye...
  19. S

    Is there a Swahili word for a marriage of two people - like couple in English?

    Steve, Ni vizuri umetumia neno "kuishi pamoja". Kuishi pamoja katika mazingira fulani fulani kunatosha kuanzisha / kuitwa "ndoa". Sio lazima kuenda kwa msajili, kanisani au msikitini. Hii ya kuchukuana tu ipo sana siku hizi na sheria ya ndoa inaitambua. Inaitwa "ndoa dhahania". Endelea kujifunza
Back
Top Bottom