Search results

  1. ddcmanesto

    Anayeifahamu Focas Vicoba atujuze

    Jamani kuna mtu anajua kuhusu hiyo taasisi, wasije wengi kulia kama deci.
  2. ddcmanesto

    Naomba msaada kuusu G Lema

    Hivi ni kweli hilo la eatv.
  3. ddcmanesto

    Tatizo ni watoa rushwa sio mpokeaji rushwa, labda haijawahi kukukuta

    Rushwa ni janga ambalo kuisha si rahisi amini nakwambia. Kwa mtu ambaye hajakutana na majanga yanayomuhitaji atoe rushwa anaweza kupinga. Mwaka 2009 nilibahatika kupata binti, mzuri nilimpenda na nikaanza kuishi naye akabahatika kupata ujauzito. Ilipofika miezi sita akapata tatizo la kutokwa na...
  4. ddcmanesto

    Kwa waajiriwa wa serikalini na binafsi

    Kwa mtu yeyote aliyeajiriwa au kupita maeneo Fulani ya shule neno orientation si geni kwake maana ndiyo kitu cha kwanza anachopewa mtu kabla ya kuanza kazi ili aweze kuyafahamu mazingira ya eneo la kazi.. Mimi nimeajiriwa katika shirika furani. Wakati napatiwa utambulisho huo Wa maeneo yangu...
Back
Top Bottom