Search results

  1. K

    Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    Watafute abudhabi sport online kununua rec`zao na unahitaji dish ya ft.9 kuwapata lakini hutowapata al jazeera(asc) sport+6-asc+10 wamehama satelite.card yao unalipia 100 usd mwaka 1.
  2. K

    Hard disk imenizengua.

    Jaribu kuifunga kama slave kisha hamisha kila unacho itaji humo ndani,ukiirudishia piga chini window hiyo.Mungu akusaidie.
  3. K

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Hakuna hata 1 anaye jua chochote humu wote wanahisi tu, www.yandex.ru katafute hapa
  4. K

    Jinsi ya Kuflash/chakachua receiver/decoder/king'amuzi.Plz

    :lol: Hana lolote huyo hajui kitu kabaki kusema zambi,zambi tu kama yeye mtakatifu wa Roma.Hii inawezekana kwa 100% hakuna cha DSTV wala king`amuzi gani cha bongo. Nitafute kkilonzi@hotmail.com Пусть вс&#1077...
  5. K

    Uranium Mining Projects In Tanzania: Progress...

    Hakuna atakae faidika zaidi ya viongozi tu,maana Tanzania hatuna hatakichwa 1 mpaka leo aliye somea tecnog ya nyuklia ni uwongo mtupu hii ni kwaajili ya USA ndio maana hawaishi kuja hapa na kutuaidi umeme wa uhakika kwasababu ya hii.
  6. K

    Msaada-wapi nitapata king'amuzi cha easy tv

    Wadau naomba kuuliza kwa kila anae tumia king`amuzi cha Easy tv,kinachakachulika ? maana wanatusumbua sana katika channels 32,ni 13 tu ndio zinaonekana na LC channels zote wametoa,na nalipia kila mwezi.
  7. K

    Free internet ITV Broadcast

    sio dili bali hawajui
  8. K

    Easy Television Decoder

    Nasikitika kwamba hakuna ambae ameweza hata kushauri ! nimepata ufumbuzi na sio kwa Easy pekeyao,kwa ving`amuzi vyote venyeuwezo wa kupoea data kupitia port za nyumba.
  9. K

    Kulipia software online

    Usipate shida hii nisawa namalipo mengine yoyote kupitia njia ya bank,inakulazimu kuwa na moja kati ya zifuatazo kwa card za bank pay online. Viza,Master,Elecronic cards,zipo nyingi sana,lakini tunazo tumia tanzania ni chache,lakini inawezekana.nimetumia visa card kwa kununulia tiketi ya ndege...
  10. K

    Easy Television Decoder

    Wadau, natumia Decoder ya Easy Television,huwa nakilipia kila mwezi,chakushangaza kwenye hiki king`amuzi kina ch:32 lakini ninauwezo wa kutazama Ch: 18 tu na nyingine zinanidai Pin code ! kunayeyote mwenyekufahamu namna ya kuking`amua/ kukichakachua nachenyewe ? napenda kutanguliza shukran kwenu.
Back
Top Bottom