Search results

  1. N

    Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Mie naona hata Faiza ni mjinga tu.kama aliweza kumwacha aende mby at 3 years inamaana kuko vizuri na ndo maana dogo anaendelea kwenda. Na kule no kwao.mama atapost,baba wadogo,mashangazi na hata majirani. Atazame tu.
  2. N

    Rais sio mama aliyewanyonyesha watanzania. Anatakiwa asimamie nchi kwa mujibu wa katiba. Sio akikosea asikosolewe kisa ni mwananamke

    Mama ni mama kwa wanae . Kwetu alichotaka Ni urais so afanye hilo.wazazi mbona tunao. BTW tunajua Ni mwanamke hatuhitaji atuambie. Urais hauna jinsia.
  3. N

    Kilalangona chanzo cha mapato Jimbo la Muhambwe ilichokosa usanifu.

    Lakini mkuu kilalangona haiwezi kusomama peke yake. Hapo vya kutangaza ni vingi tu ukianzia moyowosi huko na mapango yake ya ajabu ajabu huko Nduta mpaka Malagarasi na mabwawa yake ya Ilunde yanayoungana na Urambo huko.
  4. N

    Rais Samia ameacha wataka Urais na ameondoa wachapa kazi halisi

    Bado membe calimius nae arudi tu tuijue rangi halisi ya mpemba
  5. N

    Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    Hivo tunashangilia nini?hili ni taifa la ajabu. Kwa hiyo tinasherehekea mikopo!!!
  6. N

    Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Mate is full of bacteria.na hata hivyo kazi ya hiyo kitu siyo moja tu diniani.
  7. N

    Hakuna Cha mitano tena

    Mi5 lazima.na tozo lazima.
  8. N

    Awamu ya pili na awamu ya nne wananchi walifurahia maisha

    Matendo makuu ya zakayo mtoza ushuru. Kodi ya kichwa Kodi ya ndoa Kodi ya mimba Kodi ya fungate. Kodi Kodi Kodi
  9. N

    #COVID19 Ujerumani kuongoza kwa maambukizi ya Corona inafikirisha

    Wanazungumzia Busta nyingine Tena. Nadhani huu ugonjwa haupendi shobo...maana wahindi walipotoa chanjo walikiona.
  10. N

    Rais Samia Kodi ya mafuta na kwenye miamala ni kaa la Moto, furaha imetoweka tena

    Kwani ilirudi lini hiyo furaha? Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
  11. N

    #COVID19 Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima

    Mmh...tabu imeshakuwa fungu la nchi yetu. Mungu tuhurumie sisi
  12. N

    Kipindi hiki cha maombolezo sisi wapendwa tunafaidi sana nyimbo za injili maeneo ya starehe

    Kwa kweli tumeona Kila ulimi. ukikiri Yesu ni Bwana. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
  13. N

    Hafidh Ameir, Tanzania First Gentleman

    Kama ilivyo ada watz sisi ni kizazi sawa kabisa na wakorintho...tunapenda kuchunguzachunguza ili tupate kujua,sasa naomba kuuliza. Hivi "first gentleman" wetu ni nani?maana hatujawahi kumuona,na Kama hayupo mabaria tupeane majukumu. Ova. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom