We utakuwa ujielew wew walazimisha tutoe matus mm n mtanzania nan kakwambia siwataki wapinzan.jisemee wewe binafs sio kugeneralize .et watz..mfyuuuuuuuuu.
Hakuna ajira mwaka wa tat sasa..
2..bei ya vyakula yazid kupanda...
3.ela ya maafa kagera katia kibindon et anajenga miundombin
4.katiba inagalagazwa kila kukicha
5.maisha bado magum san kwa watu alowahid neema.
Hayo huyaoni
Nawew ukamatwe ukaisaidie polic mana kwa kifup nawe n miongon mwa watumiaji how umezijua hiz detail kama wew hutumii?pia mkuu wa mkoa nan asiitwe mpumbav?kama mkapa alituita malofa yeye makonda nan asiitwe mpumbav?mbn hawala yake hajamtaj?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.