Search results

  1. TANO MLIMA

    Ushauri

    ,
  2. TANO MLIMA

    Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    Hivi 'democracy ya kenya" walioililia kina G.Lema na P.msigwa ndo hiyo!!!!? wakiwa live,kule kenya walisifu kuwa kenya wako mbele sana kidemocrasia kuliko Tanzania!! mm naona sisi ndo tuko mbele kidemokrasia kuliko wao! wao ndo wanapaswa kuiga kutoka kwetu..... yaani Tanzania tuige hayo ya...
  3. TANO MLIMA

    Ama kweli Nabii hakubaliki kwao.

    huyu jamaa anajitahidi kweli kuleta maendeleo ya kweli lakini kuna baadhi ya watu hawaridhishwi na wanapuuzia utendaji kazi wake!(magufuli) -anajenga reli (treni ya umeme) ambayo kwa tanzania ilijengwa miaka zaidi ya mia iliyopita,leo anaijenga.!! anatimiza mradi mkubwa wa umeme wa...
  4. TANO MLIMA

    Serikali yajishushia Imani kwa wafanyakazi(90%)

    Kati ya mambo yaliyoiharibia ccm,na magufuli!, ni jambo la Rais kutamka hadharani kuwa,Hataongeza mshahara. swala hili limeondoa IMANI yooote!ya wafanyakazi kwa serikali na chama tawala kwa ujumla. Ni afadhari asingetamka hadharani!! watumishi wote wamepoteza mzuka na ari ya kazi,na hawa ndiyo...
  5. TANO MLIMA

    Wachezeaji wa nchi wasipotajwa nchi itarudi kulekule

    Waswahili husema "ukizoea kula nyama ya mtu hutaacha" ni lazima utaendelea tu! Wengine husema "tabia ni kama ngozi, kuibadili ni vigumu" Imesikika mara kadhaa, Rais akisema hii nchi imechezewa sana, tena imechezewa vya kutosha" Lakini anawaficha wachezeaji wa nchi na rasilimali za...
  6. TANO MLIMA

    Ni nini tofauti ya rufaa na rufani

    n
  7. TANO MLIMA

    question

    MP& OV
  8. TANO MLIMA

    Hapa kazi tuu inawatesa sana wapinzani

    Nimekuwa nikiwaza sana,kwa nini msemo(slogan) ya JPM ya hapa kazi tu,imekuwa ngumu sana kusahaulika akilini au kuisha midomoni na mioyoni mwa watu!!?kuliko sera za marais waliopita!!?ni wazi na nidhahiri kuwa sera ya "hapa kazi tu"inawatesa sana hawa watu,wanatapatapa sana katka vikao ving ili...
Back
Top Bottom