Search results

  1. K

    COVID 19: Serikali ipige Marufuku bar, lounge na night clubs

    Ongeza na Swimming Pool, kuna Beach nazifahamu bado zinaoperate na jioni muziki nyomi kama kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Multichoice Tanzania(DSTV) ni vyema kuwajali wateja wenu kipindi hiki cha Corona

    Mteja anaona ni bora Dstv watoe ofa kwa wateja waliolipia package za michezo wakati ligi mbalimbali za ulaya zikisimamishwa kuepusha kusambaa kwa virus vya Corona huku tayar wakiwa wamelipia. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Huyu jamaa angefanyia Upuuzi huu dar mfano maeneo ya Mbagala/ Temeke/ Buguruni/Mwenge ...Yaani angekuwa R.I.P zamani sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Almanusura nimtoe roho Bosi wangu leo kwa kipigo kizito ofisini

    mzee ukiwa na familia usiwe ni mtu wa hasira unless una multiple sources za income usije itesa familia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Hatimae leo nimempeleka Polisi

    Binafsi namkopesha muhitaji hasa mwisho ni 10% ya anachokiomba akikataa basi mfano anaomba nimkopeshe laki mbili, namwambia kiasi nilichonacho ni 20,000 tu basi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Nifanyaje ili niache kupanga? Kipato 400,000 kwa mwezi

    Guest& bar awe anaenda mara moja tu kwa mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Polisi zuieni bodaboda kufunga honi za malori

    mkuu bodaboda wapo kwenye sayar yao maana 1.Anaweza kuweka hazard indicator safari yote 2. kuwasha indicator safari yote 3. kukatiza ghafla nyuma, mbrle, ubavu mwako 4. kuchubua rangi 5.kuginga site mirror 6. kugonga bampa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Hatimaye ujenzi wa Barabara ya Makongo Juu umeanza

    LEO WAMETESA WATU KILE KIBAO CHA BARABARA KUFUNGWA WANGEKIWEKA MAPEMA TU BAADA YA KUTOKA M.CITY WENGI WASIOJUA IKABIDI WAGEUZE WACHACHE NDO WAMEPITA CHUO CHA ARDHI Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Tulioletewa bili za ajabu za maji ya DAWASA tukutane hapa

    Niliwahi kukuta natumiwa msg nila clear bili yangu ya mwezi elfu 71,000.. wakati mi sijawahi hata kuomba hiyo huduma au kutumia. kufuatilia kumbe walikosea namba ya simu, ujumbe ndo ukaja kwangu kimakosa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Thamani ya daraja la kwanza pointi 7(division 1.7) miaka ya leo

    Kwa hali ya kawaida haiwezekani wanafunzi darasa zima wapate matokeo yanayofanana 1pts 7. Ni vyema wizara ikachunguza. Nenda popote Statistic haileti kitu kama icho. Kwa human nature uwezo wa Kufikiri/kutafakari/kukariri/kuelewa havifanani.Mimi nakataa 100% darasa zima kupata 1pts 7. Sent using...
  11. K

    Natafuta nursery school au daycare nzuri yenye gharama nafuu

    mkuu hii isizidi milioni moja ni kwa ada tu au ni kiujumla? maana kuna usafiri pia . Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Gari ipi kati ya hizi inafaa kwa maisha ya Tanzania

    chukua ist toleo la 2005-2007 utaenjoy hasahasa zile zenye 4WD. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Wahitimu 173636 Wa Darasa La Saba Kukosa Nafasi Nini Maana Yake

    Hivi serikali imefanyaje kutok kufauli 12 kwenye darasa la 230 mpaka 200 kwenye darasa hilo hilo?
  14. K

    Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

    ni wazanzibar au watu watanga? au Warangi hao.. gegeda wadogo zake mkuu
  15. K

    Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

    peleka watoto boarding january... lalamika huna pesa na umeachishwa kazi. nunua dagaa/ maharage/unga. Tafuta nyumba ndogo. kunywa pombe hurud usiku ukifika mpige makofi wife +shusha matusi kibwena. wakistahamili kwa siku 10, basi ujue ndo basi tena au anza kugonga au wadogo zake
  16. K

    Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

    wewe ni mwanaume? Acha ufala timua. au unaogopa wife ndo anamkwanja mrefu kuliko wewe?
  17. K

    Tujuzane changamoto za Google Map Driving na namna ya kuzitatua

    Google map haitambui hivyo... ukifika junction ya coca cola road inapoungana na mwaikibaki kwa mbele google inakuambia ni old bagamoyo road ukifika kwa round about ukinyoonya ni old bagamoyo road ukikunja ni mwaikibaki road. according to google map driving
  18. K

    Simba kuweni serious Matola hana uwezo wa kutufikisha mbali kimataifa

    Anakuwa kocha msaidizi sio kocha mkuu
  19. K

    Mama mkwe na mwana wote wanapiga mbonji kwangu

    mwangushie vipigo mke daily kwa wiki moja mfululizo, lewa kila siku anzisha fujo na matusi... kama mamamkwe +shemejiyo wakiweza kustahamili hayo jua Taraka ndo mwokozi pekee au Lete nyumba ndogo nayo iishi apo
Back
Top Bottom