Search results

  1. M

    Mgongo kuwaka moto

    kwakweli mtafute mtaalam wa kienyeji na wala usipotrze mda kwanza mshauri afanzafanueafanye vipimo ospitali asipopata jawabu basi amuone mganga wa kkweli nasio tapeli
  2. M

    Ugonjwa wa Malaria

    Naam mzizi mkavu, Habari za siku 2/3 hivi je mimi uwa ninatatizo kubwa la kiafya, lila mara ninapo jielekeza maabara kuchukuluwa dam kwa kipimo cha malaria iwe ya mshipa ao ya kidole uwa sipatikaikani maleria ila ninapo tumia dawa tu napona aijui ni kwanini? Waweza kunisaidia kitu chochote hapo...
  3. M

    Kwanini siponi Amoeba? Je, kuna uhusiano gani kati ya Amoeba na Minyoo ya Ascaris?

    Naam nimewasikiliza ote wadau ushauri vado nimzuri tu samahani kwa kiswahili changu mana mimi simswahili, tatizo ilo bado linanisumbua ata mm kwaio dawa upatw mganga wakienyeji akupe majimajani flani upige mwino mana unapo chelewa ata mapafu yataharibika
  4. M

    Msaada: Ni zaidi ya mwaka sasa sijapata nafuu

    Sikiliza ndugu rudi hispitali una homa kali
  5. M

    Tambiko, kafara la njiapanda

    Eshima zenu wa kubwa, mimi nineipenda sana mada hii ya matambiko, mm nimesumbuliwa sana mwaka jana mwishoni adi mwaka huu bado mgonjwa nimepima vipimo aina zote hospitali bila nafaabikio ya NEGATIF sasa ndipo nilipoanza kupitia waganga wakienyeji wakaniambia kua Asili ndio inanisumbi bila...
  6. M

    Nawaombeni mnisadie, nasumbuliwa na Ulcers

    Habarizeni wa dau? Nawaombeni mnisadie mm nimgonjwa na sumbuliwa na Ulcers ambaya ni gesi nyingi tumboni ila sina vidonda tumboni! Ila natinanatumia dawa aina ya LANSOPRAZOL 30mg Kwakwel sina maumivu makali ila yapo kidogo kidogo, Kinacho nisumbua hasa ni mgongo kuuma na moto pia masaa24 miguu...
  7. M

    Mwili kutetemeka

    Hali zenu jamani, hayo yamesha nikuta hata mm mwili ua unatetemeka kwa muda wa msa2 hivyo ao vidole vya mkono utetemeka kama mzee wa miaka 90 vile, nilifanyiwa check up Ospitali nchini south Africa ndani ya Free state bethlehem mpaka pentown lakini ikawa negatif , ilibidi nishuke home sweet...
  8. M

    Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    +27789077958 nijaze kwenye group
  9. M

    Mwili kutetemeka

    Naam uyo jamaa ana mapepu ya Asili asijisumbue yende akafanyiwe tambiko la Asili ya baba
  10. M

    kiuno kuuma kinasabishwa na nini?

    Ilyo kwel fuata ushauri wa da tari
  11. M

    Kuna familia zina laana ya asili

    Naam ata mm nikijana mwenye umri wa miaka 37 nimejielekeza nchini Africa ya kusskusini kwakutegemea nakwenda kutafuta ili niisaidie familia yangu na ninekaa kule kwa muda wa miaka 10 bila mafaanikio ilifikia siku nime banwa vikali na vidonda vya tumbo ika ibidi nielekee hispotali baada ya...
  12. M

    Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    Naam mimi naitwa maabadi rakim na aqua, malumbano yenu naona mnapelekana vizuri sana mm pia ni mwislam, mada ilikua kuzungumzia majini ila mmeingia mpaka kuelimishana nakila m1 hujiona yeye ndie mwenye haq sasa bas upa de wangu mimi naweza kuekusema ya kua wewe mkristo unatakiwa kubadilika nakua...
  13. M

    Uchawi huu wa kisambaa ni noma

    Duh nima wanga!
  14. M

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Hi wana JF mimi ua nafurahi sna pale mzizi mkavu akichangia mada ya maradhi yanayo tusumbua nashangaa kwa hili la chembe ya moyo hhajiusishi ! Inama niugonjwa uso julikana japo si mara ya kwanza nausikia nilisha wahi kumiona mtu akiwa taaban na akatibiwa na bibikizeemflani akitumia glasi ya...
  15. M

    Sijawahi kujihusisha na uchawi, Je! naweza kulogeka?

    Natoa hi kwa wazee na vijana, uchawi upo na anae ponya ni Allah pekeake waganga nisababu tu, na mganga wakweli ni yule anaeanza kukutibia na pesa unamlipa baadae.
  16. M

    Kwa mtu mwenye HIV, Ni dalili gani za kwanza humpata, na huonekana baada ya muda gani?

    Nikweli bana msitupe presha kuna dalili nyingi sana za VIH Acheni nanyie waulizaji ukijishuku unabidi ukapime ndio njia sahihi usijipe presha zabure pengine huna umelogwa misum ya kichawi wewe unazani kua unaukimwi asanteni
  17. M

    Mwili kuchoka na usingizi usioisha

    Habari zenu umu ndani wengi tuna changia mada nakupoteza mda lakini hatujui sababu maalum za hilo tatizo ndugu yangu jieleke hospitali kapime vipimo aina zote amna jibu zaidi yailo
  18. M

    Gesi tumboni

    Habari umundani Mimi Nina matatizo ya Gasi ndio majibu nilio pewa baada kipimo cha ENDOSCOPY mana Nina dalili zifuatazo, kkichwa kuuma kidogo Sehem Ie Vidonda vya tumbo vinaumisga mgongo Mpaka Kiuno Mara koromeo inabanwa mkono n.a. mkuu kama vile vinataka kupooza kichwano najiskia kama Nataka...
  19. M

    Nahisi nimelishwa sumu

    Mbona mwamuaga kwa vishindo
Back
Top Bottom