Nawaombeni mnisadie, nasumbuliwa na Ulcers

Sep 29, 2016
23
9
Habarizeni wa dau? Nawaombeni mnisadie mm nimgonjwa na sumbuliwa na Ulcers ambaya ni gesi nyingi tumboni ila sina vidonda tumboni! Ila natinanatumia dawa aina ya LANSOPRAZOL 30mg Kwakwel sina maumivu makali ila yapo kidogo kidogo,

Kinacho nisumbua hasa ni mgongo kuuma na moto pia masaa24 miguu kuuma kuanzia kwenye mafuti hadi vidoleni! mara naishiwa nguvu mwilini a mara kua sawa nakujiskia sina tatizo mwoloni nimesha pima vipimo vya dam aina zote na results ni negatif mpa ka choo nimepima nakiuno pia kinauma alafu kuna mtindo wakutingishwa mwili mzima kama Kwa nguvu nyingi kwa mudda wa saa kama3 hivi kila siku usiku naomba msada wenu na mkono mikono kutetemeka kama mzee mwenye umri wa miaka 90 vile.
 
Back
Top Bottom