Search results

  1. M

    Nakwenda India Kesho, Kinana yuko Hospitali Gani Nikamsabahi?

    Yuko hpl inayopokewa magonjwa ya kutumwa bila shaka ni sangoma wa kihindi uliza tu bodaboda watakupeleka
  2. M

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    Toka awamu ya kwanza mana nionavyo alizaliwa akijua sheria huyu
  3. M

    Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Kweli ubongo wa kuku sasa ukimya huo sio wa kutokujua ila ni kuwa anakuvutia pumzi
  4. M

    Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa

    Hiyo ni movie mpya ya mungu wa dar drug diler wako na yao hata unywele haujawacheza Hiyo ni sawa na utake kumchinja kuku umkate ukucha halafu ungoje akate roho
  5. M

    Tusiruhusu kitendo cha yule mama aliyevamia mkutano wa Rais Magufuli

    Hili ni tatizo la kuwa na serikali mbovu za ccm zisizokuwa na uwajibikaji ni vyema akabadili mufumu wa yeye kuonekanandio kila kitu na kuanzisha mfumo wa uwajibikaji
  6. M

    Mkuu wa meza na ibada zinazopingana na Mungu

    Wanajua na ndio wanatakiwa kumtukuza
  7. M

    Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

    Umetokwa povu tu kama nguruwe aliepigwa rungu la kichwa vibaya na hakufa matokeo yake hujaeleweka hata unachosema zaidi ya kujulikana ww sio mtumishi wa uma pia
  8. M

    Salamu za sikukuu ya Christmas kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Udc & urc ni vyeo vitokanavyo na kumtaja mtukufu kwa kumsifia ujinga kila wakati so msimshangae Happi anapalilia udc wake maana akijisaha atetenguliwa
  9. M

    Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

    Ukiona mtu anatumbua pesa zake mwache maana hujui anazipataje na mateso zinauompa ni yapi Pesa zina mengi
  10. M

    Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Duuu mpaka awamu hii iishe max atakuwa amepazoea jela kama nyumbani Maana akigoma kutoa taarifa zako ndani tena Kwa mtukufu post yako itaitwa uchochezi wa kutaka mtukufu apopolewe mawe utakoma[emoji1][emoji2][emoji2][emoji9]
  11. M

    Ufafanuzi juu ya shitaka namba 3 la kutokutumia .tz

    Nilivyokuwa najua mm kuwa hiyo .co.tz ni tuvuti inayotumika na idara za serikali tu kumbe hata ka emeil kangu manguruwe matamu@ icloud. Com nami nikajisalimishe hakana .co.tz
  12. M

    Je, ni nani haswa Wanatafutwa JamiiForums?

    Umesahau maneno ushahidi/ vielelezo visivyo vya kuikosoa magogoni nyeupe hata kama ni vyakweli tupu
  13. M

    Mawakili sita kumtetea mmiliki wa JamiiForums

    Na watabewa na wale wagogo waliowapa kipindi kile Mana wao hawajui maana ya jamii forum
  14. M

    Picha: Wahitimu wa diploma wakihitimu bila majoho

    Hata mpiga picha alikuwa anamtazama huyo ndio maana wengi tumemuona
  15. M

    Mkapa, Kikwete, Salim, Warioba, Spika na Naibu wala kiongozi wa kimataifa hakuwepo!

    Hukuona wanajeshi walipata vifijo vingi kuliko alipokuwa anazunguka uwanja y
  16. M

    Leo tarehe 25 october CHADEMA hawaji kuisahau milele walivyobwagwa

    Najua hapa mtoa hoja unajikaza tu nakusifia uongo ila mm nangoja ifike tarehe ingine kama hii nauhakika utaandika ukilia kama mungu atakujalia kuwepo duniani?
  17. M

    Mwanamke mweusi ana mvuto zaidi akiwa uchi wa mnyama kuliko mwanamke mweupe

    Mweusi mweupe kinachonoga ni pozi na ufundi wake kukuvuta
  18. M

    Ofisi ya Waziri mkuu kuanza kutumia usafiri wa bajaji na bodaboda lengo ikiwa kubana matumizi.

    Kashapewa dili ya asilimia kumi ya manunuzi ya vyombo hivyo Na badae bei ya sevce inakuwa ni yakununulia bajaji tatu
Back
Top Bottom