Search results

  1. Damianjamii

    Prado TX 2001 3RZ engine fuel consumption.

    Habari ndugu. Naomba ufafanuzi kwa wale wanaozijua Prado TX 3rz engine. Ulaji wa mafuta town trip liter 1 inatembea KM ngapi na kwa safari ndefu nje ya mjini Liter moja inatembea KM ngapi. Asanteni sana nasubiri mawazo yenu wadau.
  2. Damianjamii

    RAV4 na Harrier ipi bora kwa Tanzania yetu naomba ushauri ndugu zangu.

    Rav4 cc1790 mwaka 2003. Na Harrier cc2160 mwaka 1999.
  3. Damianjamii

    Ushauri: Toyota Prado TX 1999 3RZ engine 2690cc.

    Wadau msaada wenu mimi ni mgeni na ilo gari sijui ulaji wa mafuta ukoje L/KM na stability yake barabarani pamoja na matatizo mengine. Msaada wadau.(Toyota Landcruser prado 3RZ 2690 1999).
  4. Damianjamii

    kati ya Noah na Harrier kwa familia msaada

    Harrier inafaa kwa matumizi yote 4 cylinder.
  5. Damianjamii

    Nataka nunua Gari. Toyota Harrier au prado TX.

    Sasa naombeni ushauri wenu waelewa. Toyota harrier used abroad 1999 cc 2160. Je vipuri, ulaji wa mafuta na katika safari inafaa au Land cruser plado TX 1998 cc 2690 ya kununua kwa mtu. Imeweza kunifaa. Naombeni ushauri.
  6. Damianjamii

    Ushauri kuhusu Toyota Harrier

    Nakaka nunua gari Toyota Harrier 1999 AWD CC 2160. kama kuna mtu alishawahi kulitumia au la naomba ushauri.
Back
Top Bottom