Damianjamii
Member
- Sep 20, 2016
- 6
- 2
Habari ndugu. Naomba ufafanuzi kwa wale wanaozijua Prado TX 3rz engine. Ulaji wa mafuta town trip liter 1 inatembea KM ngapi na kwa safari ndefu nje ya mjini Liter moja inatembea KM ngapi. Asanteni sana nasubiri mawazo yenu wadau.