Damianjamii
Member
- Sep 20, 2016
- 6
- 2
Wadau msaada wenu mimi ni mgeni na ilo gari sijui ulaji wa mafuta ukoje L/KM na stability yake barabarani pamoja na matatizo mengine. Msaada wadau.(Toyota Landcruser prado 3RZ 2690 1999).
Usiingie kwa spidi kubwa kwenye matuta ya rasta,inapoteza muelekeoWadau msaada wenu mimi ni mgeni na ilo gari sijui ulaji wa mafuta ukoje L/KM na stability yake barabarani pamoja na matatizo mengine. Msaada wadau.(Toyota Landcruser prado 3RZ 2690 1999).