RAV4 na Harrier ipi bora kwa Tanzania yetu naomba ushauri ndugu zangu.

Damianjamii

Member
Sep 20, 2016
6
2
1475409133433.png
1475409168302.jpg
Rav4 cc1790 mwaka 2003. Na Harrier cc2160 mwaka 1999.
 
Chukua hiyo RAV 4
Mkuu LEGE samahani kidogo, ni hivi nataka nikachukue gari (runx) maputo mozambique, kuna ndg yangu anaitumia kule sasa nataka niihamishie huku, hebu nisaidie kuileta huku na kuifanyia usajili wa huku inaweza kugusa sh ngapi, Samahani lakini.
 
Hivi ndugu nitapata wapi engine ya Harrier 200cc nataka kubadilisha toka 3000cc
 
Iyo kili time siku hizi wanawake wengi wanaendesha chukua huyo mnyama mweusi
 
Chukua Rav 4 hiyo, kwanza haili mafuta sana kama Harrier, pili unapita tu kwenye rough road bila kuuliza, hata gharama za vifaa za Harrier zipo juu
 
chukua harrier hutajuta...kili tima hiyo kwa harrier bado sana...haina nafasi kama harrier, pili ulaji wa amfuta hautofautiani sana ila kwa versatility, elegance na durability harrier inaizidi kwa mbali sana hiyo
 
Hivi ndugu nitapata wapi engine ya Harrier 200cc nataka kubadilisha toka 3000cc
Nadhani umekosea. Sio 200 bali 2000. Engine hizo ni za 3s.
Ila wasiliana na mafundi maana vipo vingine vitakavyobadilika kama control box nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom